Washiriki wa Tigo Kili Half Marathon 2020 wanazidi kumiminika Mlimani City kuchukua namba zao ushiriki, wewe Je?
NI RAHISI KUPATA NAMBA: Washiriki wote waliojiandikisha kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2020 walifika jana Mlimani city kwa ajili ya kuchukua namba za ushiriki, zoezi hilo litaendelea na leo pia.