Benki ya NMB taasisi kinara kusaidia jamii Elimu, Afya – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BIASHARA

Benki ya NMB taasisi kinara kusaidia jamii Elimu, Afya

I am Krantz by I am Krantz
Nov 30, 2020
in BIASHARA
0 0
0
Benki ya NMB taasisi kinara kusaidia jamii Elimu, Afya
0
SHARES
34
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala – Ng’wilabuzu Ludigija, akimkabidhi  cheti cha shukrani kwa Benki ya NMB, Meneja Mwandamizi Idara ya Biashara za Serikali  wa NMB – Adelard Mang’ombo, kama mmoja wa wadau walipa kodi wakati wa Siku ya Mlipa Kodi katika Manispaa ya Ilala.  

Mkuu wa Wilaya ya Ilala – Ng’wilabuzu Ludigija, akizungumza na Meneja Mwandamizi Idara ya Biashara za Serikali  wa NMB – Adelard Mang’ombo baada ya kukabidhiwa cheti cha shukrani kwa Benki ya NMB kwa mmoja wa wadau walipa kodi wakati wa Siku ya Mlipa Kodi katika Manispaa ya Ilala. Kushoto ni Meneja Mwandamizi Uhusiano  Biashara na Serikali wa NMB – Amanda Feruzi na Meneja Mauzo ya Kidijitali – Hezbon Mpate. 

 

 

Benki ya NMB imetajwa kuwa taasisi kinara ya kifedha katika Manispaa ya Ilala mkoani Dae es salaam inayotumia kiasi kikubwa cha pato lake kuisaidia jamii katika Nyanja za Elimu na Afya kupitia Mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR).

 

Kupitia mpango huo Benki hiyo imekuwa mstari wa mbele kati ya taasisi nyingi za fedha kwenye mkoa huo, ambayo imekuwa ikishirikiana na serikali kuhakikisha huduma bora za kiafya na elimu zinapatika kwa wananchi.

 

Hatua hiyo ilipelekea Manispaa hiyo kuipatia Benki hiyo cheti cha Pongezi, kwenye hafla ya kufunga wa kongamano la siku ya mlipakodi lilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

Katika hafla hiyo, Manispaa ya Ilala ilikabidhi vyeti kwa taasisi, mashirika, makampuni na wafanyabiashara 100 Bora wa Ulipaji Kodi Bila Shuruti, huku NMB ikipongezwa na kutunukiwa kama Kinara wa matumizi ya pato lake katika kusaidia jamii.

 

Akiongea katika kongamano hilo, Meneja Uwajibikaji Miradi ya Jamii – Lilian Kisamba, alisema kuwa toka mwaka 2020 hadi leo Benki hiyo imetoa shilingi Milioni 218.9 katika mkoa wa Dar es salaam kwenye miradi inayogusa jamii moja kwa moja.

 

Alisema kuwa kati ya fedha hizo kiasi cha Shilingi Milioni 153.9 zimetumika katika sekta ya Elimu na Millioni 65 ikienda kwenye Afya, ambapo jumla ya shule 26 zimepokea madawati 300 na kusaidia watoto 3900 ambao walikuwa wanakaa chini kwa kukosa madawati.

 

Aliongeza kuwa shule sita zilipatikwa msaada wa mabati yenye thamni ya shilingi Milioni 40, ambapo mkuu wa Wilaya hiyo Ng’wilubuzu Ludigija wakati akikabidhi cheti hicho cha pongeza aliishiruku benki hiyo kwa juhudi zake.

 


Tags: NMB
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

Tigo yazindua huduma ya ‘Lipa Kwa Simu’
BIASHARA

Tigo yazindua huduma ya ‘Lipa Kwa Simu’

by I am Krantz
Jan 19, 2021
0

Huduma hii ya malipo, sasa itafahamika kama...

Read more
PATA PATA NA TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA WASHINDI WAWILI

PATA PATA NA TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA WASHINDI WAWILI

Jan 12, 2021
Arise B.V (Arise) inamiliki 34.9% ya hisa zilizokuwa za Rabobank katika Benki ya NMB ya Tanzania.

Arise B.V (Arise) inamiliki 34.9% ya hisa zilizokuwa za Rabobank katika Benki ya NMB ya Tanzania.

Jan 8, 2021
Jumla ya Shilingi Milioni 20 Zimeshatolewa katika Promosheni ya kila wiki ya NMB MastaBATA

Jumla ya Shilingi Milioni 20 Zimeshatolewa katika Promosheni ya kila wiki ya NMB MastaBATA

Jan 5, 2021
Vodacom Tanzania PLC yatwaa Tuzo ya kwanza ya uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa mwaka 2019

Vodacom Tanzania PLC yatwaa Tuzo ya kwanza ya uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa mwaka 2019

Jan 5, 2021
Vodacom yatamatisha kampeni ya Shangwe Shangwena kwa kukabidhi gari Dodoma

Vodacom yatamatisha kampeni ya Shangwe Shangwena kwa kukabidhi gari Dodoma

Jan 4, 2021
Next Post
Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha Kenya kwa Ugaidi ajinyonga

Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha Kenya kwa Ugaidi ajinyonga

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

November 2020
M T W T F S S
« Oct   Dec »
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In