Johnnie Walker yadhamini Mashindno ya Gofu – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BIASHARA

Johnnie Walker yadhamini Mashindno ya Gofu

I am Krantz by I am Krantz
Nov 12, 2020
in BIASHARA, MICHEZO
0 0
0
Johnnie Walker yadhamini Mashindno ya Gofu
0
SHARES
48
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mark Mugisha akizungumza na wachezaji wa Klabu ya Gofu ya Lugalo jijini Dar es Salaam watakaoIwakilisha klabu hiyo katika mashindno ya TPC Open yanayofanyika mjini Moshi muda mfupi baada ya SBL kutangaza udhamini wa mashindano ya gofu ya Waitara ya mwaka huu kupitia kinywaji cha Johnnie Wwalker


Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Mugisha(kulia) akiteta jambo na mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Bregedia Generali mstaafu Michael Luwongo (katikati) muda mfupi baada ya kampuni ya SBL kutangaza udhamini wa mashindano ya gofu ya Waitara ya mwaka huu jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni nahodha wa Klabu hiyo kepteni Japhet Masai


Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Bregedia Generali mstaafu Michael Luwongo (wa pili kulia) akifurahia zawadi ya kinywaji cha Johnnie Walker alichopewa na Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Mugisha(kulia) muda mfupi baada ya baada ya kampuni ya SBL kutangaza udhani wa mashindano ya gofu ya Waitara jijini Dar es Salaam jana kupitia Johnnie Walker. Kushoto ni nahodha wa Klabu hiyo kepteni Japhet Masai na meneja masoko wa Johnnie Walker Minga Lumuli


Nohodha wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Kepteni Japhet Masai akiongea na waandishi wa habari wakati kampuni ya SBL kutangaza udhamini wa mashindano ya gofu ya Waitara ya mwaka huu jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mark Mugisha na ayefuatia ni mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Bregedia Generali mstaafu Michael Luwongo

 


Takribani wachezaji 150 wa golf kutoka sehemu mbali mbali hapa nchini wanatarajia kuchuana vikali kwenye mashindano ya kila mwaka maarufu kama  Waitara Golf Tournament, yanayodhaminiwa na kinywaji cha Johnnie Walker (JW) kinachosambazwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)

 Mwaka jana, mashindano haya yanayojizolea umaarufu mkubwa, yalidhaminiwa pia na kampuni ya SBL kupitia bia yake ya Serengeti Lite.

 Akitangaza udhamini huo mbele ya waandishi wa habari, mkurugenzi wa masoko wa SBL Mark Mugisha alisema udhamini wa JW kwenye mashindano hayo unalenga kukuza na kuendeleza mchezo wa gofu.

ADVERTISEMENT

 “SBL kupitia kinywaji cha kimataifa cha Johnnie Walker inayofuraha kuwa mdhamini wa mashindano ya Waitara Golf Tournament kwa mwaka huu. Udhamini huu unaonyesha nia yetu ya kusaidia maendeleo ya michezo hapa nchini,” alisema Mark

 Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa mashindano hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka kuanzia mwaka 2006, na hivyo mashindano yaliyoanza muda mrefu zaidi hapa Tanzania na kuongeza kuwa JW inayofuraha kuwa sehemu ya mashindano hayo makongwe.

 “Wakati tukishereheka miaka 200 tangu kuanza kutengenezwa kwa JW ambayo kwa sasa ni wisky namba moja ulimwenguni, tunayofuraha kusafiri katika miaka yote hii tukiendelea kuwa imara na katika ubora ule ule,” alisema.

 Johnnie Walker ni moja kati pombe kali zenye ubora wa hali ya juu na hadhi ya kimataifa. Kinywaji hiki kina jumla ya aina tano ambazo zimeshinda tuzo za ubora wa kimataifa. Aina hizo ni pamoja na JW Red Label, JW Black Label, JW Green Label, JW Gold Label, na JW Blue Label kila moja ikiwa na historia yake ya kipekee.  

 Kwa upande wake mwenyekiti wa klabu ya Gofu ya Lugalo Bregedia Generali mstaafu Michael Luwongo aliishukuru SBL kupitia JW kwa kukubali kudhamini mashindano hayo na kuyataka makampuni mengine kujitokeza kusaidia mchezo wa gofu.

  “Tunaishukru sana kampuni ya SBL kwa muendezo wao wa kufadhili mashindano hay ana mchezo wa gofu kwa ujumla. Kwa sasa tunaweza kusema SBL ndiyo mdhamini mkubwa wa mashindano haya,” alisema Bregedia Jenerali Luwongo

 

 MWISHO……..


 

Tags: SBL
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

Tigo yazindua huduma ya ‘Lipa Kwa Simu’
BIASHARA

Tigo yazindua huduma ya ‘Lipa Kwa Simu’

by I am Krantz
Jan 19, 2021
0

Huduma hii ya malipo, sasa itafahamika kama...

Read more
Lacazette ananisaidia kuongeza ujasiri – Smith Rowe

Lacazette ananisaidia kuongeza ujasiri – Smith Rowe

Jan 19, 2021
Messi apata kadi Nyekundu ya kwanza kwa Barca

Messi apata kadi Nyekundu ya kwanza kwa Barca

Jan 18, 2021
Barcelona yahofia kumkosa Messi fainali za Supercopa de Espana

Barcelona yahofia kumkosa Messi fainali za Supercopa de Espana

Jan 14, 2021
Manchester United ipo tayari kuikabiri Liverpool – Pogba

Manchester United ipo tayari kuikabiri Liverpool – Pogba

Jan 13, 2021
PATA PATA NA TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA WASHINDI WAWILI

PATA PATA NA TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA WASHINDI WAWILI

Jan 12, 2021
Next Post
Benki ya CRDB yawashukuru wateja wake kwa kuiwezesha kupata tuzo ya benki bora Tanzania inayotolewa na Jarida la Global Finance

Benki ya CRDB yawashukuru wateja wake kwa kuiwezesha kupata tuzo ya benki bora Tanzania inayotolewa na Jarida la Global Finance

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

November 2020
M T W T F S S
« Oct   Dec »
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In