Video: Halima Mdee na wenzake waapishwa kuwa Wabunge viti maalum – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home HABARI

Video: Halima Mdee na wenzake waapishwa kuwa Wabunge viti maalum

Mhariri by Mhariri
Nov 24, 2020
in HABARI
0 0
0
Video: Halima Mdee na wenzake waapishwa kuwa Wabunge viti maalum
0
SHARES
65
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Wabunge wateule wa viti maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA Halima Mdee, wamekula kiapo hii leo katika viwanja wa Bunge jijini Dodoma.

Zoezi la uapisho wa wabunge hao limeongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, hii leo Novemba 24, 2020.

Akizungumza mara baada ya kula kiapo, Halima Mdee amesema kuwa, “Nikishukuru chama changu cha CHADEMA kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freema Mbowe, ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata”.

ADVERTISEMENT

Waliokula viapo hivyo hii leo ni wabunge 19, akiwemo Ester Bulaya, Salome Makamba, Grace Tendega, Kunti Majala, Esther Matiko, Halima Mdee, Cecilia Paresso, Agnesta Lambati, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Tunza Malapo, Konchester Leonce Rwamlaza.

 

ADVERTISEMENT
Mhariri

Mhariri

Related Posts

IGP Sirro akemea vitendo vya udhalilishaji Zanzibar
HABARI

IGP Sirro akemea vitendo vya udhalilishaji Zanzibar

by Mhariri
Jan 22, 2021
0

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP...

Read more
Kiwanda cha Twiga Cement wamkabidhi RC Kunenge mifuko 800 ya Saruji

Kiwanda cha Twiga Cement wamkabidhi RC Kunenge mifuko 800 ya Saruji

Jan 22, 2021
Naibu Waziri Kipanga aagiza Vyuo vya VETA kwenye Wilaya 25 vyote vikamilike kwa wakati

Naibu Waziri Kipanga aagiza Vyuo vya VETA kwenye Wilaya 25 vyote vikamilike kwa wakati

Jan 22, 2021
Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato (+video)

Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato (+video)

Jan 22, 2021
Rais wa Zanzibar akutana na IGP Sirro

Rais wa Zanzibar akutana na IGP Sirro

Jan 22, 2021
Waziri Aweso awaagiza SUMAJKT kuongeza nguvu kazi kwenye ujenzi wa tanki la Maji Chamwino

Waziri Aweso awaagiza SUMAJKT kuongeza nguvu kazi kwenye ujenzi wa tanki la Maji Chamwino

Jan 22, 2021
Next Post
Rapa AKA na mpenzi wake wakamatwa na Polisi

Rapa AKA na mpenzi wake wakamatwa na Polisi

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

November 2020
M T W T F S S
« Oct   Dec »
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In