Zuchu balozi mpya bidhaa za Tridea Cosmetics – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home HABARI

Zuchu balozi mpya bidhaa za Tridea Cosmetics

I am Krantz by I am Krantz
Nov 25, 2020
in HABARI
0 0
0
Zuchu balozi mpya bidhaa za Tridea Cosmetics
0
SHARES
54
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter



MSANII wa muziki wa bongo fleva, Zuhura Othman ‘Zuchu’ akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa kuwa balozi wa bidhaa za Tridea Cosmetics, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Tridea Cosmetics, Grace Luswaga.




Kampuni ya vipodozi ya Tridea Cosmetics, inayo furaha kumtangaza kuingia makubaliano na msanii Zuhura Othman ‘Zuchu’, kuwa balozi wa bidhaa zake. 

Zuchu ambaye ni msanii wa muziki wa bongo fleva katika lebo ya WCB, atakuwa balozi wa bidhaa za Tridea akihusika kwenye matangazo ya TV, magazeti na mitandao ya kijamii.”

Zuchu ni msanii wa kike anayekubalika kwa sasa na atakuwa balozi mzuri kwa wengine kupitia bidhaa zetu ikiwemo kuwasaidia wanawake kutumia na kujisikia vizuri.

“Tumeamua kufanya naye kazi baada ya kuona kazi zake zinakubalika na atakuwa balozi mzuri kwa wengine,” alisema Mtendaji Mkuu wa Tridea Cosmetics, Grace Luswaga.

“Bidhaa za Tridea kwa wanawake zinasaidia kuwaweka kwenye mwonekano mzuri na kujisikia huru kila wakati,” alisema.

Akizungumzia hilo, Zuchu alisema kuwa amefurahia kuingia mkataba na Tridea Cosmetics na huo utakua ushindi wa wanawake wote na kina mama wa Tanzania nzima.


“Ninafurahia kuingia mkataba na Tridea Cosmetics na kwani nitakua balozi mzuri kwa wanake wenzangu na kina dada, mama yangu pia anatumia bidhaa hizi na mimi tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikizitumia,” alisema Zuchu.

Kuhusu Zuchu

ADVERTISEMENT

Zuchu ni msanii aliyetoka kwenye familia ya muziki ambapo ameshafashirikishwa kwenye wimbo wa Mauzauza na mama yake Khadija Kopa, pia Cheche ya Diamond Platnumz.

Zuchu kwa sasa anafanya vizuri katika muziki wa bongo fleva na kuendelea kuwateka mashabiki kila kona ikiwemo mitandao ya kijamii.

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

Picha: Makamu wa Rais aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Dodoma
HABARI

Picha: Makamu wa Rais aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino Dodoma

by Mhariri
Jan 15, 2021
0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Read more
NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne, zijue shule 10 zilizoongoza

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne, zijue shule 10 zilizoongoza

Jan 15, 2021
Kisa cha kweli: Mapenzi ya Chuo yawachanganya, waenda kanisani kula kiapo

Kisa cha kweli: Mapenzi ya Chuo yawachanganya, waenda kanisani kula kiapo

Jan 15, 2021
Rais wa Uturuki apewa chanjo ya Corona

Rais wa Uturuki apewa chanjo ya Corona

Jan 15, 2021
Serikali yawakaribisha wawekezaji katika sekta ya mawasiliano hapa nchini

Serikali yawakaribisha wawekezaji katika sekta ya mawasiliano hapa nchini

Jan 15, 2021
Waziri Aweso asitisha agizo la EWURA kupandisha Ankara za Maji

Waziri Aweso asitisha agizo la EWURA kupandisha Ankara za Maji

Jan 15, 2021
Next Post
Mashindano ya mbio za mitumbwi (Tanzania Boat Race) kufanyika Mwanza

Mashindano ya mbio za mitumbwi (Tanzania Boat Race) kufanyika Mwanza

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

November 2020
M T W T F S S
« Oct   Dec »
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In