1.Wizara ya Maji -Aliyeteuliwa Jumaa Aweso
2.Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Aliyeteuliwa Innocent Bashungwa
3.Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na Wenye Ulemavu- Aliyeteuliwa Jenister Mhagama.
4.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Aliyeteuliwa Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI-Afya)
5.Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais- Aliyeteuliwa Mkumbo Kitila
6.Wizara ya Katiba na Sheria- Aliyeteuliwa Mwigulu Nchemba.
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia- Aliyeteuliwa Prof Joyce Ndalichako.
8.Wizara ya Mifugo na Uvuvi – Aliyeteuliwa Mashimba Mashauri Ndaki.
9.Wizara ya Maliasili na Utalii- Aliyeteuliwa Dkt Ndumbalo Damas.
10.Wizara ya Ofisi ya Rais- TAMISEMI Selemani Jaffo
11.Wizara ya Madini- Aliyeteuliwa Dotto Biteko
12.Wizara ya Nishati- Aliyeteuliwa Dkt Medard Kalemani.
13.Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi- Aliyeteuliwa (mbunge mpya), Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
14.Wizara ya Kilimo- Aliyeteuliwa Prof.Adolph Mkenda.
15.Wizara ya Viwanda na Biashara- Aliyeteuliwa Mwambe Geofrey Idelphonce.
16.Wizara ya Mambo Ya Ndani- Aliteuliwa George Simbachawene.
17.Wizara ya Muungano na Mazingira- Ummy Mwalimu.
18.Wizara ya (Wizara mpya) ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari- Aliyeteuliwa Dkt Faustine Ndugulile.
19.Wizara ya Fedha- Aliyeteuliwa Dkt Philip Mpango.
20. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki- Aliyeteuliwa Prof Palamagamba Kabudi.
21 Wizara ya Ardhi- Aliyeteuliwa William Lukuvi
22.Wizara ya Ulinzi na JKT- Aliyeteuliwa Elias John Kuandikwa.
23.Wizara ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora- Aliyeteuliwa Capt Mstaafu George Mkuchika.
Anayedaiwa kumnasa makofi mzazi akutwa na hatia
Na WAMJW-Sumbawanga Baraza la Uuguzi na Ukunga...
Read more