Meneja wa kilabu ya Manchester city Pep Guardiola emetunukiwa tuzo ya Kocha bora wa Karne ya 21 katikati tuzo zilizotelewa na Globe soccer awards usiku wa Disemba 27,2020 huko Dubai.
Guardiola aliheshimiwa kwa kazi hiyo ambapo ameshuhudiwa akitwaa ubingwa wa ligi huko Uhispania, Ujerumani na England, na pia Ligi ya Mabingwa mara mbili.