Mkuu wa Kitengo cha Masoko Vodacom Tanzania PLC, Nandi Mwiyombella (katikati ) akichezesha droo ya promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena ambapo zawadi ya kwanza ya gari aina ya Renault KWID imekwenda kwa Happyness Manembe Appolo mwenye umri wa miaka 46 mkazi wa Biharamulo mkoani Kagera. Jumla ya magari matano, pesa taslimu shilingi milioni 25 na zawadi kemkem zenye thamani ya zaidi ya shilingi 3 bilioni kutolewa ndani ya wiki 5. Kuongeza nafasi ya ushindi fanya miamala ya M-Pesa kadri uwezavyo msimu huu wa sikukuu. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu na Mwakilishi toka Bodi ya michezo ya kubahatisha, Rasul Masoud |