NMB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI,MKOANI MOSHI – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home BIASHARA

NMB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI,MKOANI MOSHI

I am Krantz by I am Krantz
Dec 2, 2020
in BIASHARA
0 0
0
NMB YASHIRIKI MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI,MKOANI MOSHI
0
SHARES
37
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Katika kuunga mkono jitihada za uthibiti wa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini, leo ikiwa Siku ya Ukimwi duniani, Benki ya NMB imetoa msaada wa ticheti zilizovaliwa katika hafla ya maadhimisho mjini Moshi na elimu kuhusu umuhimu wa kukata bima ya afya.


Meneja wa NMB Tawi la Nelson Mandela – PrayGod Godwin akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro – Anna Mghwira Msaada wa Tisheti zilizovaliwa katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniania leo ofisini kwake.  


Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko(kushoto) akizungumza na Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini-Aikansia Muro (Kati), Meneja wa NMB Tawi la Nelson Mandela – PrayGod Godwin na  Meneja Mwandamizi Huduma za Serikali – Christabel Hiza mara baada ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani iliyofanyika mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

ADVERTISEMENT


  

Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Stella Msofe akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mahusiano Biashara na Serikali wa Benki ya NMB – Mkunde Joseph alipotembelea Banda la Benki hiyo kwenye maadhimisho yaliyofanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo. 

Tags: NMB
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

Tigo yazindua huduma ya ‘Lipa Kwa Simu’
BIASHARA

Tigo yazindua huduma ya ‘Lipa Kwa Simu’

by I am Krantz
Jan 19, 2021
0

Huduma hii ya malipo, sasa itafahamika kama...

Read more
PATA PATA NA TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA WASHINDI WAWILI

PATA PATA NA TIGO YAKABIDHI MILIONI 10 KWA WASHINDI WAWILI

Jan 12, 2021
Arise B.V (Arise) inamiliki 34.9% ya hisa zilizokuwa za Rabobank katika Benki ya NMB ya Tanzania.

Arise B.V (Arise) inamiliki 34.9% ya hisa zilizokuwa za Rabobank katika Benki ya NMB ya Tanzania.

Jan 8, 2021
Jumla ya Shilingi Milioni 20 Zimeshatolewa katika Promosheni ya kila wiki ya NMB MastaBATA

Jumla ya Shilingi Milioni 20 Zimeshatolewa katika Promosheni ya kila wiki ya NMB MastaBATA

Jan 5, 2021
Vodacom Tanzania PLC yatwaa Tuzo ya kwanza ya uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa mwaka 2019

Vodacom Tanzania PLC yatwaa Tuzo ya kwanza ya uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa mwaka 2019

Jan 5, 2021
Vodacom yatamatisha kampeni ya Shangwe Shangwena kwa kukabidhi gari Dodoma

Vodacom yatamatisha kampeni ya Shangwe Shangwena kwa kukabidhi gari Dodoma

Jan 4, 2021
Next Post
MSHIKEMSHIKE WABUNGE WALIOFUKUZWA CHADEMA/SIMBA HAIREMBI,YANGA WANAJAMBO LAO……..MAGAZETINI LEO

MSHIKEMSHIKE WABUNGE WALIOFUKUZWA CHADEMA/SIMBA HAIREMBI,YANGA WANAJAMBO LAO........MAGAZETINI LEO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

December 2020
M T W T F S S
« Nov   Jan »
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In