Kiwanda cha Twiga Cement wamkabidhi RC Kunenge mifuko 800 ya Saruji – Mwanaharakati Mzalendo
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home HABARI

Kiwanda cha Twiga Cement wamkabidhi RC Kunenge mifuko 800 ya Saruji

Mhariri by Mhariri
Jan 22, 2021
in HABARI
0 0
0
Kiwanda cha Twiga Cement wamkabidhi RC Kunenge mifuko 800 ya Saruji
0
SHARES
23
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge jana amepokea mchango wa mifuko 800 ya Saruji kutoka Kiwanda Cha Twiga kama sehemu ya kuunga mkono jitiada za Serikali ya Mkoa huo Katika kutatua changamoto za uhaba wa Vyumba vya madarasa.

Akipokea Mchango huo RC Kunenge amesema Saruji hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa katika Ujenzi wa Vyumba vya madarasa na kuwezesha wanafunzi kusoma pasipo usumbufu wowote.

Aidha RC Kunenge amesema hadi kufikia Sasa Mkoa huo umekamilisha Ujenzi wa Madarasa 80 kati ya madarasa 339 yanayojengwa kwaajili ya wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato Cha Kwanza na kukosa nafasi Kutokana uhaba wa madarasa ambapo ameeleza kuwa Hadi kufikia February 28 madarasa yote yatakuwa yamekamilika.

Hata hivyo RC Kunenge amesema changamoto za uhaba wa Vyumba vya madarasa ni matokeo mazuri ya mwitikio wa wananchi Katika suala la elimu bila malipo ambapo kwa mwaka huu makadirio ni kuandikisha wanafunzi 78,000 kujiunga na darasa la Kwanza.

Baada ya kupokea shehena hiyo ya Saruji RC Kunenge amekabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo alieambatana na Mkurugenzi wa Manispaa na Meya wa Manispaa hiyo na kuwataka kuhakikisha Saruji hiyo inaenda kufanya kazi iliyokusudiwa.

Mhariri

Mhariri

Related Posts

SIMULIZI; Nilivyolinda Familia Yangu Isikamatwe Wakati Wakitengeneza Pombe
HABARI

SIMULIZI; Nilivyolinda Familia Yangu Isikamatwe Wakati Wakitengeneza Pombe

by I am Krantz
Feb 26, 2021
0

Nilizaliwa katika familia masikini sana na wakati...

Read more
Dkt. Ndungulile afurahishwa na huduma ya kufungua akaunti kidijitali kupitia SimBanking

Dkt. Ndungulile afurahishwa na huduma ya kufungua akaunti kidijitali kupitia SimBanking

Feb 26, 2021
Auto Draft

FAINALI NMB MASTABATA WIKI IJAYO, 424 WAZOA ZAWADI

Feb 24, 2021
Mamia wajitokeza kujisajili na Mbio za Kili Marathon Jijini Dar Es Salaam

Mamia wajitokeza kujisajili na Mbio za Kili Marathon Jijini Dar Es Salaam

Feb 23, 2021
BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO YAHAMASISHA WANAFUNZI KUPENDA FANI HIYO

BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO YAHAMASISHA WANAFUNZI KUPENDA FANI HIYO

Feb 23, 2021
Wateja wa Vodacom kuvuna Shilingi 4.1 bilioni za faida ya kutumia M-Pesa.

Wateja wa Vodacom kuvuna Shilingi 4.1 bilioni za faida ya kutumia M-Pesa.

Feb 23, 2021
Next Post
IGP Sirro akemea vitendo vya udhalilishaji Zanzibar

IGP Sirro akemea vitendo vya udhalilishaji Zanzibar

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

January 2021
M T W T F S S
« Dec   Feb »
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In