Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe (+video) – Mwanaharakati Mzalendo
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home HABARI

Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe (+video)

Mhariri by Mhariri
Jan 23, 2021
in HABARI
0 0
0
Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe (+video)
0
SHARES
15
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Watuhumiwa 5 wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa magari 6 yaliyopatikana mikoa tofauti yanayosadikika yametokana na ujambazi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema wanashikilia gari 6 zilizoibwa katika maeneo tofauti huku watuhumiwa 5 wakiendelee kuwahoji juu ya kuhusika na tuhuma za wizi huo.

“Tulikuwa tunatafuta gari moja matokeo yake tumeweza kukamata gari zingine 6 ambazo zinahusishwa na kuibwa maeneo mbali mbali katika nchi yetu”alisema Kamanda Issa.

Kamanda aewataja watuhumiwa hao kuwa ni pamoja na “Kuna mshtakiwa maarufu Endrick Husein jina maarufu (Kimya kimya) huyu ni mkazi wa Dar es salaam,Sudy Mwinyi mkazi wa Uyole Mbeya,Method Mkongwa mkazi wa Njombe,Iman Phidelis mkazi wa moshi fundi magari pamoja na Timoth Nehemia mkazi wa Mufindi hawa wanashirikina kuiba magari na kuyapokea”alisema Hamis Issa

Amesema gari wanazoshikiria ni pamoja na aina ya Noah rangi ya silver iliyoibwa mkoani Mbeya,Gari aina ya Spacio iliyotoka Silali mkoani Mara,Rava 4 iliyokamatwa mkoani Singida,Carina iliyopatikna mjini Njombe.

Amewataka watanzania waliopotelewa na gari hizo kufika mkoani Njombe na vielelezo ili waweze kutambua gari zao kwa kuwa kwa sasa zipo mikononi mwa polisi.

Mhariri

Mhariri

Related Posts

SIMULIZI; Nilivyolinda Familia Yangu Isikamatwe Wakati Wakitengeneza Pombe
HABARI

SIMULIZI; Nilivyolinda Familia Yangu Isikamatwe Wakati Wakitengeneza Pombe

by I am Krantz
Feb 26, 2021
0

Nilizaliwa katika familia masikini sana na wakati...

Read more
Dkt. Ndungulile afurahishwa na huduma ya kufungua akaunti kidijitali kupitia SimBanking

Dkt. Ndungulile afurahishwa na huduma ya kufungua akaunti kidijitali kupitia SimBanking

Feb 26, 2021
Auto Draft

FAINALI NMB MASTABATA WIKI IJAYO, 424 WAZOA ZAWADI

Feb 24, 2021
Mamia wajitokeza kujisajili na Mbio za Kili Marathon Jijini Dar Es Salaam

Mamia wajitokeza kujisajili na Mbio za Kili Marathon Jijini Dar Es Salaam

Feb 23, 2021
BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO YAHAMASISHA WANAFUNZI KUPENDA FANI HIYO

BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO YAHAMASISHA WANAFUNZI KUPENDA FANI HIYO

Feb 23, 2021
Wateja wa Vodacom kuvuna Shilingi 4.1 bilioni za faida ya kutumia M-Pesa.

Wateja wa Vodacom kuvuna Shilingi 4.1 bilioni za faida ya kutumia M-Pesa.

Feb 23, 2021
Next Post
TANZIA: Brigedia Jenerali Emmanuel Edward Maganga (Mstaafu) afariki dunia

TANZIA: Brigedia Jenerali Emmanuel Edward Maganga (Mstaafu) afariki dunia

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

January 2021
M T W T F S S
« Dec   Feb »
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In