Walimu wamtoa mimba mwanafunzi, wakamatwa na Polisi – Mwanaharakati Mzalendo
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home HABARI

Walimu wamtoa mimba mwanafunzi, wakamatwa na Polisi

Mhariri by Mhariri
Jan 22, 2021
in HABARI
0 0
0
Walimu wamtoa mimba mwanafunzi, wakamatwa na Polisi
0
SHARES
44
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Jeshi la Polisi mkoani Njombe linawashikilia walimu wawili wa shule ya sekondari Mang’oto wilayani Makete mkoani Njombe kwa tuhuma za kumsababishia ujauzito na kumtoa mwanafunzi wa shule hiyo mwenye umri wa miaka 17.

Akizungumza na vyombo vya habari, kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa, amesema wanamshikilia mwalimu Ezekiel Thomas (36) maarufu kwa jina la Dokole, kwa kuwa na mahusiano na mwananfunzi na kumsababishia ujauzito.

“Huyu mwalimu amekuwa na mahusiano na mtoto wa sekondari mwenye umri wa miaka 17 na binti huyo amepimwa  amegundulika ni mjamzito”alisema kamanda Issa

Aidha amesema wanamshikilia mwalimu Ben Liamdilo (35) kwa kushirikiana katika tukio la utoaji wa mimba na kumsababishia maumivu mwanafunzi.

“Mwalimu Thomas alifanya juhudi akamtuma huyu mwalimu mwenzake akambeba na boda boda kwenda kumtoa mimba mpaka sasa hivi walimu wote wawili tunawashikilia na wanatuhumiwa na makosa haya” alisema tena kamanda Issa

Vile vile ameitaka jamii kushirikiana kwa kutoa taarifa kwa jeshi la polisi ili kukabiliana na vitendo kama hivyo.

Mhariri

Mhariri

Related Posts

SIMULIZI; Nilivyolinda Familia Yangu Isikamatwe Wakati Wakitengeneza Pombe
HABARI

SIMULIZI; Nilivyolinda Familia Yangu Isikamatwe Wakati Wakitengeneza Pombe

by I am Krantz
Feb 26, 2021
0

Nilizaliwa katika familia masikini sana na wakati...

Read more
Dkt. Ndungulile afurahishwa na huduma ya kufungua akaunti kidijitali kupitia SimBanking

Dkt. Ndungulile afurahishwa na huduma ya kufungua akaunti kidijitali kupitia SimBanking

Feb 26, 2021
Auto Draft

FAINALI NMB MASTABATA WIKI IJAYO, 424 WAZOA ZAWADI

Feb 24, 2021
Mamia wajitokeza kujisajili na Mbio za Kili Marathon Jijini Dar Es Salaam

Mamia wajitokeza kujisajili na Mbio za Kili Marathon Jijini Dar Es Salaam

Feb 23, 2021
BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO YAHAMASISHA WANAFUNZI KUPENDA FANI HIYO

BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO YAHAMASISHA WANAFUNZI KUPENDA FANI HIYO

Feb 23, 2021
Wateja wa Vodacom kuvuna Shilingi 4.1 bilioni za faida ya kutumia M-Pesa.

Wateja wa Vodacom kuvuna Shilingi 4.1 bilioni za faida ya kutumia M-Pesa.

Feb 23, 2021
Next Post
Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe (+video)

Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe (+video)

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

January 2021
M T W T F S S
« Dec   Feb »
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In