Waziri ampa siku 7 IGP kushughulikia bajeti ya Mbwa – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
Home HABARI TANZANIA

Waziri ampa siku 7 IGP kushughulikia bajeti ya Mbwa

Ombeni Osward by Ombeni Osward
Jan 11, 2021
in HABARI TANZANIA
0 0
0
Waziri ampa siku 7 IGP kushughulikia bajeti ya Mbwa
0
SHARES
67
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amempa siku saba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP) Simon Sirro, kushughulikia bajeti ya chakula cha mbwa wawili wanaotumika kulinda ulinzi na usalama.

Simbachawene ametoa agizo hilo Jijini DSM, wakati wa ziara ya kikazi alipotembelea maeneo ya Jiji hilo.

Amesema mbwa hao wawili kati ya saba hawana bajeti ya chakula hivyo wanatakiwa kupewa bajeti kwa sababu wanafanya kazi kubwa kuliko binadamu.

“Mbwa hawa ni askari wanaotumika sana ni nimemwagiza IGP ndani ya siku saba ahakikishe Mbwa wote saba wapo kwenye bajeti, katika mbwa saba wapo mbwa watano wenye bajeti na wawili hawapo kwenye bajeti ambapo kwa mwezi wanatumia Tsh. laki nane, inatakiwa wote wawepo kwenye bajeti,” Simbachawene

Aidha, Simbachawene amempa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa zawadi ya gari kama ishara ya pongezi kwa utendaji wake ikiwa na kudhibiti uhalifu na kupungua kwa kiasi kikubwa.

Ombeni Osward

Ombeni Osward

Related Posts

Mfumo wa Elimu kidato cha tano kubadilika
HABARI

Mfumo wa Elimu kidato cha tano kubadilika

by Ombeni Osward
Mar 29, 2021
0

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi)...

Read more
Serikali kuendelea kuzipatia ufumbuzi Changamoto za Muungano

Serikali kuendelea kuzipatia ufumbuzi Changamoto za Muungano

Mar 29, 2021
Miaka 30 jera kwa wizi wa simu

Miaka 30 jera kwa wizi wa simu

Mar 26, 2021
Ratiba ya kumuuaga hayati JPM Mwanza

Ratiba ya kumuuaga hayati JPM Mwanza

Mar 24, 2021
Hata Nyerere Alilaumiwa – Warioba

Hata Nyerere Alilaumiwa – Warioba

Mar 19, 2021
Mh.Samia kuwa Rais wa 10 mwanamke Afrika

Mh.Samia kuwa Rais wa 10 mwanamke Afrika

Mar 19, 2021
Next Post
TRA yagoma kuongeza muda uboreshaji EFD

TRA yagoma kuongeza muda uboreshaji EFD

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

I agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Currently Playing

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

January 2021
M T W T F S S
« Dec   Feb »
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In