Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Young Africans imekamirisha usajili wa beki Dickson Job, akitokea Mtibwa Sugar.
kupitia ukurasa wa instagram wa wanajangwani wamemtamburisha kinda huyo na kuandika “Karibu Kitasa cha mpira (@jobdick_05) hii ndio Young Africans.”
Job ataitumikia yanga kwa miaka miwili kama mkataba wake unavoeleza.