![]() |
Msanii wa Bongofleva Beka Flavour akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Serengeti Music festival lililofanyika juzi Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. |
![]() |
Bushoke akiimba na mashabaiki katika Tamasha la Serengeti Music Festival Jijini Dodoma mapema mwishoni wa wiki iliyopita . |
![]() |
NYOTA wa muziki wa bongo fleva Chid benz akiimba katika tamasha la Serengeti Music Festival Jijini Dodoma mapema mwishoni wa wiki iliyopita . |
![]() |
Mbudurushaji kutoka Clouds FM Dj Zerro akitumbuiza katika tamasha la Serengeti Music Festival Jijini Dodoma mapema mwishoni wa wiki iliyopita . |
![]() |
Katibu Mkuu wa wizara ya Habari , michezo na utamaduni Dk Hassan Abass akitambulisha wageni waalikwa katika Tamasha la Serengeti Music Festival lilifanyika mapema mwishoni wa wiki iliyopita. |
![]() |
Mwanadada Shilole akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Serengeti Music Festival lililofanyika juzi Uwanja wa Jamhuru mjini Dodoma |
![]() |
Snura akishambulia jukwaa la Serengeti Music Festival mapema mwishoni wa wiki iliyopita Jijini Dodoma. |
![]() |
Z Anto akipagawisha mashabiki wa Tamasha la Serengeti Music Festival mapema mwishoni mwa wiki iliyopita Jijini Dododma . |
![]() |
Madee akichangamsha umati wa wakazi wa Dodoma katika Tamasha la Serengeti Music Festival |
![]() |
Maelfu ya wakazi wa dodoma wakipata burudani kutoka kwa wasanii mbali mbali katika Tamasha la Serengeti Music Festival mapema mwishoni wa wiki iliyopita Jijini Dodoma . |
![]() |
Shangwe kutoka kwa mashabiki |