ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, July 4, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Benki ya CRDB yaibuka mshindi wa jumla tuzo za NBAA

I am Krantz by I am Krantz
Dec 6, 2021
in HABARI
0
Benki ya CRDB yaibuka mshindi wa jumla tuzo za NBAA
0
SHARES
170
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

π–π€π™πˆπ‘πˆ 𝐖𝐀 π€π…π˜π€ WA ZANZIBAR π€πˆππ€ πŠπŽππ†πŽπ‹π„ π€πŠπˆππ€ π‚πŽπŒπ„π‘π‚πˆπ€π‹ ππ€ππŠ

Jul 3, 2022

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

Jul 3, 2022

BENKI YA CRDB NA WAKALA WA SERIKALI MTANDAO ZANZIBARA WAINGIA MAKUBALIANO

Jul 3, 2022
Load More
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akipokea tuzo ya mshindi wa jumla kwa uwasilishaji bora wa Taarifa za Fedha Nchini kwa viwango vya kimataifa, kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude (kushoto), katika hafla ya utoaji tuzo kwa washindi wa Shindano la Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa kwa mwaka 2020. Shindano hilo liliandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na lilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita. Kulia ni Mtaalamu wa Uendeshaji wa Fedha wa Benki ya CRDB, Neema Maganja.
 
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (wa saba kushoto) akiwa pamoja na wafanyakazi wa Idara ya Fedha wa Benki ya CRDB wakiwa wa tuzo
ya mshindi wa jumla kwa uwasilishaji bora wa Taarifa za Fedha nchini
kwa viwango vya kimataifa, waliyoipata katika Shindano la
Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa kwa mwaka 2020 lililoandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa
Hesabu Tanzania (NBAA) na kulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAA
Bunju Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Idara ya Fedha wakifurahia tuzo zao walizopata katika Shindano la
Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa kwa mwaka 2020 ambapo Benki ya CRDB iliibuka kinara, lililoandaliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa
Hesabu Tanzania (NBAA) na kulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha NBAA
Bunju Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.

BENKI ya CRDB imeibuka kinara katika tuzo zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na

Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kama taasisi ya fedha iliyoongoza kwa kuwasilisha Taarifa ya

Fedha bora kwa mwaka 2020 kwa kuzingatia viwango vya kimataifa.


Akizungumza wakati kukabidhi tuzo hiyo, Mhasibu Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude

aliipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kuzingatia viwango vya kitaifa na kimataifa

katika utayarishaji wa taarifa zake za kifedha.

 
Mkude alisema kuandaa ripoti za

mwaka za Mashirika na Taasisi za Umma kwa viwango vya kimataifa kunawapatia wananchi

fursa ya kupima ufanisi wa utendaji kazi wa taasisi husika, kuona namna gani yanawajibika

ipasavyo katika kutumia rasilimali.



β€œHongereni sana Benki ya CRDB kwa kuibuka kinara wa jumla na kwa upande wa taasisi za fedha, hii

inadhihirisha ni jinsi gani Benki hii imewekeza katika mifumo ya kisasa ya kutoa huduma kwa

wateja lakini pia na kuwezesha kupata taarifa za kiwango,” alisema Mhe.Mkude.



Kwa upande wake Afisa Mkuu wa Fedha Benki ya CRDB, Fredrick Nsekanabo,

alisema kuwa Benki ya CRDB inatambua umuhimu wa kuandaa taarifa za fedha kupitia mifumo

inayozingatia viwango vya kitaifa na kimataifa. Alisema kitendo cha kupata tuzo hizo

kunaifanya benki hiyo kuendelea kuongeza jitihada ili kubaki katika nafasi hiyo.




β€œTumefanya uwekezaji mkubwa katika mifumo ya kidijitali hii ni pamoja na kuboresha

mifumo yetu ya kukusanya na kuandaa taarifa. Tumeweza pia kuunganisha mfumo wetu wa

utoaji taarifa za fedha na mfumo wa kimataifa wa kuandaa taarifa za fedha (IFRS), hii pia

imechangia Benki yetu kuwa bora zaidi,” alisema Nshekanabo.



Nshekanabo alibainisha kuwa ushindi huo pia unatokana na Benki hiyo kuwa na mfumo bora

wa uongozi unaozingatia weledi, uwazi wa taarifa za kifedha, uwajibikaji na kiwango cha

juu cha uadilifu wa takwimu.




Naye Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA Bw. Pius Maneno, alisema Benki ya CRDB imeibuka

kinara baada ya kukidhi vigezo vyote vilivyowekwa na taasisi hiyo.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

πŸ‘‰ FOUNDER & CEO of KONCEPT πŸ‘‰Serial & Self-made Entrepreneur πŸ‘‰Digital media consultant πŸ‘‰Pr & media Guru/Awards winner Blogger πŸ‘‰Startuper of the year 2016 by TOTAL πŸ‘‰TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 πŸ‘‰General Secretary at Tanzania Bloggers Network πŸ‘‰ UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 πŸ‘‰ ALUMNI The Tony Elumelu Foundation πŸ‘‰Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β€˜ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion β€πŸ˜Š

Related Posts

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO
BIASHARA

π–π€π™πˆπ‘πˆ 𝐖𝐀 π€π…π˜π€ WA ZANZIBAR π€πˆππ€ πŠπŽππ†πŽπ‹π„ π€πŠπˆππ€ π‚πŽπŒπ„π‘π‚πˆπ€π‹ ππ€ππŠ

by I am Krantz
Jul 3, 2022
NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO
BIASHARA

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

by I am Krantz
Jul 3, 2022
BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA 46 YA SABASABA
BIASHARA

BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA 46 YA SABASABA

by I am Krantz
Jul 3, 2022
WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2021
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Oct   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved Β© 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved Β© 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In