ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, July 3, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Benki Ya Equity Na Nala Wasaini Mkataba Utumaji wa fedha Kimataifa

ADAM CHAUYA by ADAM CHAUYA
Dec 14, 2021
in HABARI
0
Benki Ya Equity Na Nala Wasaini Mkataba Utumaji wa fedha Kimataifa
0
SHARES
71
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Benki ya Equity kwa kushirikiana na kampuni ya kiteknolojia ya NALA, wamesaini mkataba wa utumaji fedha Β kimataifa utakaowasaidia watanzania wanaoishi nje ya nchi kutuma fedha kwa urahisi hapa nchini.

RelatedPosts

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

π–π€π™πˆπ‘πˆ 𝐖𝐀 π€π…π˜π€ WA ZANZIBAR π€πˆππ€ πŠπŽππ†πŽπ‹π„ π€πŠπˆππ€ π‚πŽπŒπ„π‘π‚πˆπ€π‹ ππ€ππŠ

Jul 3, 2022

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

Jul 3, 2022

BENKI YA CRDB NA WAKALA WA SERIKALI MTANDAO ZANZIBARA WAINGIA MAKUBALIANO

Jul 3, 2022
Load More

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo Disemba 14, 2021 katika ofisi za benki ya Equity, mkurugenzi mkuu wa benki hiyo Roberty Kiboti, amesema kupitia kampuni ya Nala watawarahisishia wanadiaspora kuwatumia ndugu zao fedha bila ya makato.

Kiboti amesema kupitia huduma hiyo, serikali itapata fursa ya kupata mapato na kuzidi kuchochea kukua kwa uchumi wa nchi.

β€œLeo tunazindua hudumaa hii,tumeona tuwasaidie wateja wetu wa diaspora kutuma pesa hapa nyumbani Tanzania na hii itasaidia kukuza uchumi wa nchi kupitia uwekezaji huu”, alisema Kiboti.

Kadhalika Kiboti amesema kupitia makubaliano hayo wateja wa NALA wataweza kutuma fedha kupitia simu za mkononi na kuingia mojakwamoja katika akaunti ya benki ya Equity.

ADVERTISEMENT

Kwa upande wake mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Nala Benjamin Fernandes ameishukuru benki ya Equity pamoja na benki kuu ya Tanzania (BOT) kwa kukubali mfumo huo kutumika hapa nchini.

Aidha amesema kampuni yao inaendeleza kutanua wigo ambapo mwakani wataingia katika nchi ya marekani ili wawafikie watanzania wanoishi huko.

β€œSisi ni kampuni ya kiteknolojia ambayo tumeanzisha bidhaa itakayowagusa watanzania kutuma pesa kutoka nje ya nchi kuja hapa, kwasasa takwimu zinaonesha kuna wanadiaspora zaidi ya 300,000 wanaoishi nchini uingereza ambao wanatumia hii huduma.

ADVERTISEMENT

tunatarajia mwakani tuingie nchini Marekani ili tuweze kuwapa huduma hii wanadiaspora wa huko”, alisema Fernandes.

Related

ADVERTISEMENT
ADAM CHAUYA

ADAM CHAUYA

Related Posts

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO
BIASHARA

π–π€π™πˆπ‘πˆ 𝐖𝐀 π€π…π˜π€ WA ZANZIBAR π€πˆππ€ πŠπŽππ†πŽπ‹π„ π€πŠπˆππ€ π‚πŽπŒπ„π‘π‚πˆπ€π‹ ππ€ππŠ

by I am Krantz
Jul 3, 2022
NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO
BIASHARA

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

by I am Krantz
Jul 3, 2022
BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA 46 YA SABASABA
BIASHARA

BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA 46 YA SABASABA

by I am Krantz
Jul 3, 2022
WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2021
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Oct   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved Β© 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved Β© 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In