ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Mshindi mwingine wa Kampeni ya Simbanking “Mzigo Promosheni” ya Benki ya CRDB apatikana, aondoka na Toyota IST

I am Krantz by I am Krantz
Dec 22, 2021
in HABARI
0
Mshindi mwingine wa Kampeni ya Simbanking “Mzigo Promosheni” ya Benki ya CRDB apatikana, aondoka na Toyota IST
0
SHARES
270
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Feb 7, 2023

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Feb 7, 2023

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Feb 7, 2023
Load More
 
Mkurugenzi Wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru (kulia) akimkabidhi kadi ya gari Mshindi wa Kampeni ya Simbanking “Mzigo Promosheni” Kwa Mwezi Novemba 2021, Victor Danford Mbulingwe mkazi wa Dar es salaam kupitia Tawi la Benki ya CRDB Kijitonyama aliyeondoka na gari aina ya Toyota IST, ambaye ameongoza kwa kufanya miamala mingi zaidi kwa kipindi cha mwezi Novemba. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo katika Tawi la Benki hiyo, Kijitonyama Dar Es Salaam.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili, Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Kijitonyama, Rosemary Nchimbi pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd.
katika
kampeni hiyo ya “Mzigo Promosheni” Benki ya CRDB imemekuwa ikiwazawadia
wateja kutokana na miamala wanayoifanya kupitia SimBanking, na mpaka
sasa wameshatoa zaidi ya zaidi ya shilingi milioni 15 kwa wateja zaidi
ya 500 wanaoongoza kwa idadi ya miamala kila siku. Lakini pia wamekuwa
na washindi wanaoongoza kwa idadi ya miamala kila mwezi ambao wao
wamekuwa wakijishindia gari aina ya Toyota IST. Jumla ya washidhi sita
wa gari wamepatikana kutoka mikoa mitano nchini, ambao ni Mshindi wetu
wa mwezi Juni, Kevin Ngao (Dar es salaam), Mshindi wa mwezi Julai,
Madina Ramadhani (Dodoma), Mshindi wa mwezi Agosti, Afande Hamadi Juma
Pole
(Mwanza), Mshindi wa mwezi Septemba, Rajabu Daniel Msuya (Tanga), Mshindi wa mwezi Oktoba, Elisha Edison Mwamahonje (Mtwara) pamoja na Victor Danford Mbulingwe ambaye ni mshindi wa kampeni hiyo kwa mwezi wa Novemba.
Mkurugenzi Wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru (kulia) akimpongeza Mshindi wa Gari aina ya Toyota IST kupitia Kampeni ya Simbanking “Mzigo Promosheni” kwa Mwezi
Novemba 2021, Victor Danford Mbulingwe (kushoto) mkazi wa Dar es salaam kupitia
Tawi la Benki ya CRDB Kijitonyama, ambaye ameongoza kwa kufanya miamala
mingi zaidi kwa kipindi cha mwezi Novemba.
Mkurugenzi Wa Hazina wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru akizungumza katika hafla ya kumkabidhi gari Mshindi wa Kampeni ya Simbanking “Mzigo
Promosheni” kwa Mwezi Novemba 2021, iliyofanyika leo katika Tawi la Benki ya CRDB,Kijitonyama Dar Es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili akilelezea kwa waandishi wa habari namna Kampeni ya Simbanking “Mzigo
Promosheni” kwa Mwezi Novemba 2021 ilivyoendeshwa na mpaka kupatikana mshindi wa Gari aina ya Toyota IST.

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd akizungumza.




—

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HABARI

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
HABARI

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

HAMTAMUONA KOCHA NABI AIRPORT – ALLY KAMWE

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR
HABARI

QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI
HABARI

ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
December 2021
M T W T F S S
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031  
« Oct   Jan »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In