ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, July 6, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Vodacom Tusua mapene yamkabidhi shilingi milioni kumi mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam

I am Krantz by I am Krantz
Jan 14, 2022
in HABARI
0
Vodacom Tusua mapene yamkabidhi shilingi milioni kumi mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam
0
SHARES
158
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkuu wa kitengo  cha huduma za kidigitali Vodacom Tanzania,  Goodluck Moshi akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa mshindi wa promosheni ya Vodacom Tusua mapene,  Lilian Haule mkazi wa Tegeta jijini Dar es salaam, hafla ya makabidhiano imefanyika viwanja vya Zakhem Mbagala.  Ili ushinde promosheni hii  mteja wa Vodacom anatakiwa kutuma  herufi V kwenda namba 15544 kuanzia gharama ya shilingi mia tatu na kuendelea



RelatedPosts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MEI 6, 2022 / BEI YA PETROLI KILIO KILA KONA / WABUNGE WACHARUKA KUPAA BEI YA MAFUTA / MAKAMBA AMALIZA UTATA BEI YA MAFUTA

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 7,2022

Jul 6, 2022

Jul 6, 2022

Jul 6, 2022
Load More




ADVERTISEMENT
Mshindi wa zawadi ya promosheni ya Vodacom Tusua Mapene, Lilian Haule akizungumza na wakazi wa Mbagala waliojitokeza kushuhudia namna alivyokabidhiwa zawadi yake ya shilingi milioni kumi kutoka Vodacom.



Mkuu wa kitengo  cha huduma za kidigitali Vodacom Tanzania, Goodluck Moshi akizungumza na wakazi wa Mbagala waliojitokeza kushuhudia makabidhiano ya zawadi kwa mshindi wa promosheni ya Vodacom Tusua mapene, Lilian Haule ambaye amejishindia shilingi milioni kumi kutoka Vodacom.

 

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MEI 6, 2022 / BEI YA PETROLI KILIO KILA KONA / WABUNGE WACHARUKA KUPAA BEI YA MAFUTA / MAKAMBA AMALIZA UTATA BEI YA MAFUTA
HABARI

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 7,2022

by Shabani Rapwi
Jul 6, 2022
HABARI

by Pastory Kimaryo
Jul 6, 2022
HABARI

by Pastory Kimaryo
Jul 6, 2022
WIVU WA MAPENZI CHANZO CHA MAUAJI KIGOMA
HABARI

WIVU WA MAPENZI CHANZO CHA MAUAJI KIGOMA

by Shabani Rapwi
Jul 6, 2022
RIHANNA BILIONEA WA KIKE MDOGO ZAIDI
HABARI

RIHANNA BILIONEA WA KIKE MDOGO ZAIDI

by Shabani Rapwi
Jul 6, 2022
KISWAHILI LUGHA RASMI UGANDA
HABARI

KISWAHILI LUGHA RASMI UGANDA

by Shabani Rapwi
Jul 6, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In