ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, July 4, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Washindi 100 wa NMB MastaBata wanyakua 10m/-

I am Krantz by I am Krantz
Jan 7, 2022
in HABARI
0
Washindi 100 wa NMB MastaBata wanyakua 10m/-
0
SHARES
138
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Meneja Mwandamizi wa wateja Binafsi wa Benki ya NMB, Ali Ngingite akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya kampeni ya MastaBata Kivyakovyako iliyochezeshwa Dar es Salaam. kutoka kushoto ni Meneja Mwandamizi kitengo cha kadi, Manfred Kayala, Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha, Joram Mtafya 

 

Na Mwandishi Wetu

 

Wateja 100 wa kwanza wa kampeni ya NMB MastaBata-Kivyako Vyako walipatikana jana nakuzawadiwa pesa taslimu TZS 100,000 kila mmoja nataasisi hiyo kiongozi wa shughuli za kifedha nchini.

 

Washindi hao wamezawadiwa jumla

RelatedPosts

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

π–π€π™πˆπ‘πˆ 𝐖𝐀 π€π…π˜π€ WA ZANZIBAR π€πˆππ€ πŠπŽππ†πŽπ‹π„ π€πŠπˆππ€ π‚πŽπŒπ„π‘π‚πˆπ€π‹ ππ€ππŠ

Jul 3, 2022

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

Jul 3, 2022

BENKI YA CRDB NA WAKALA WA SERIKALI MTANDAO ZANZIBARA WAINGIA MAKUBALIANO

Jul 3, 2022
Load More
 ya TZS milioni 10.

 

Promosheni ya MastaBata-Kivyako Vyako ilizinduliwarasmi katikati ya mwezi Disemba mwaka jana kwa lengola kuchagiza matumizi ya kadi za malipo za Mastercardkama sehemu ya mchango wa NMB katika juhudi zataifa za kujenga uchumi usiotegemea sana fedhataslimu.

 

NMB pia inatumia kampeni hii ya kuendeleza uchumi wakidijitali kurudisha fadhila kwa wateja wake waaminifuambao wamekuwa ni muhili muhimu wa safari yake yamabadiliko ya kidijitali.

 

Akizungumza wakati wa droo ya kuwapata washindi wakwanza wa MastaBata-Kivyako Vyako, MenejaMwandamizi wa Wateja Binafsi wa NMB, Bw. Ali Ngingite, alisema zaidi ya TZS milioni 200 zitanyakuliwakwenye kampeni hii ya miezi mitatu.

 

β€œHili ni toleo la tatu la kampeni za MastaBata zilizoanzarasmi mwaka 2018 kuwahamasisha wateja na wasiowateja wa Benki ya NMB kutumia kadi za Mastercardwanapofanya malipo na miamala kupitia intaneti,” mtaalumu huyo wa mikopo binafsi alisema.

 

β€œKama watangulizi wake, promosheni ya MastaBata-Kivyako Vyako pia ina lengo la kuwatambua nakuwazawadia wateja wetu waaminifu kwa kuendeleakutumia huduma zetu,” Bw Ngingite aliongeza nakutabainisha kuwa zitakuwepo pia droo za kila mwezi naile kubwa ya mwisho.

 

Wakati washindi 100 wa kila wiki watashinda TZS 100,000 kila mmoja, 25 watanyakua TZS 1,000,000 kilamwezi na 30 wa mwisho watashinda jumla ya TZS milioni 90 zikiwa ni TZS milioni kwa kila mshindi.

 

Bw Ngingite alisema takribani wateja 1,000 wanategemewa kushinda zawadi za promosheni yaMastaBata-Kivyako Vyako iliyopangwa kufikia tamatimwezi Machi.

 

Kampeni hii inawahusisha pia wateja wa benki hiyowanaofanya malipo kwa NMB MasterPass QR. Kama kawaida droo ya jana ilisimamiwa na ofisa mwandamiziwa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT).

 

NMB inasema kampeni zake za MastaBatazimefanikiwa sana kuchagiza malipo ya kidijitali nchinina matumizi ya kadi za Mastercard kufanya malipo namiamala mbali mbali.

 

Mwezi Novemba mwaka jana, kampuni ya MastercardInternational iliitunuku NMB tuzo maalumu ya kuwabengi kiongozi wa kuhamasisha matumizi ya kadi zakenchini.

 

MWISHO…

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

πŸ‘‰ FOUNDER & CEO of KONCEPT πŸ‘‰Serial & Self-made Entrepreneur πŸ‘‰Digital media consultant πŸ‘‰Pr & media Guru/Awards winner Blogger πŸ‘‰Startuper of the year 2016 by TOTAL πŸ‘‰TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 πŸ‘‰General Secretary at Tanzania Bloggers Network πŸ‘‰ UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 πŸ‘‰ ALUMNI The Tony Elumelu Foundation πŸ‘‰Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β€˜ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion β€πŸ˜Š

Related Posts

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO
BIASHARA

π–π€π™πˆπ‘πˆ 𝐖𝐀 π€π…π˜π€ WA ZANZIBAR π€πˆππ€ πŠπŽππ†πŽπ‹π„ π€πŠπˆππ€ π‚πŽπŒπ„π‘π‚πˆπ€π‹ ππ€ππŠ

by I am Krantz
Jul 3, 2022
NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO
BIASHARA

NSSF YAWAHIMIZA WAJASIRIAMALI KUCHANGAMKIA FURSA KWA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

by I am Krantz
Jul 3, 2022
BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA 46 YA SABASABA
BIASHARA

BENKI YA CRDB KATIKA MAONESHO YA 46 YA SABASABA

by I am Krantz
Jul 3, 2022
WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
January 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Dec   Feb »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved Β© 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved Β© 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In