ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Kampuni Ya Vodacom Tanzania Kupitia Promosheni Yake Ya ‘Shangwe Lipo Pale Pale’ Yatoa Zawadi Za Ada Kwa Washindi 10

I am Krantz by I am Krantz
Feb 8, 2022
in HABARI
0
Kampuni Ya Vodacom Tanzania Kupitia Promosheni Yake Ya ‘Shangwe Lipo Pale Pale’ Yatoa Zawadi Za Ada Kwa Washindi 10
0
SHARES
268
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

Mar 27, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Meneja wa Mauzo Vodacom kanda ya Dar es Salaam, George Nyanda akizungumza na wakazi wa Mbagala wakati wa makabidhiano ya zawadi mbalimbali kwa washindi wa promosheni ya Shangwe Lipo palepale iliyofanyika viwanja vya stendi ya mabasi Mbagala

Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia promosheni yake ya “Shangwe Lipo Pale pale” imetoa zawadi za Ada kwa washindi kumi wa promosheni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki Mbagala jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake mmoja kati ya washindi aliyejishindia ADA ya shule kwa watoto wake, Jackline Macha mkazi wa Kibamba alisema “kwa kweli sikuweza kuamini mara nilipopigiwa simu kutoka Vodacom nikiwa kwenye shughuli zangu za kila siku na kuambiwa umejishindia zawadi kutoka Vodacom, nilifurahi sana kwa kuwezeshwa, maana ilinipunguzia mzigo huu wa ADA kwa mwaka huu, ambao kwangu ulikuwa mkubwa sana” . Nawashukuru sana Vodacom kwa zawadi hii na naomba nitoe wito kwa watanzania watumie mtandao wa vodacom kupitia huduma yake ya Mpesa kila mara.

Nae Meneja wa Mauzo Mwandamizi wa Vodacom kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Nyanda alisema ” Hii ni fursa kwa watanzania kujishindia zawadi mbalimbali kupitia promosheni yetu ya Shangwe Lipo pale pale, ambayo tumeianza mwezi Novemba mwaka jana kama “Show Love Tule Shangwe” kwa kuwapa wateja wetu zawadi, ikiwa ni wewe na umpendae kwa msimu wa sikukuu ya Christmass na mwaka mpya na sasa tumeenda mbali zaidi kwa miezi hii ya mwanzoni mwa mwaka tumeamua kutoa ADA ili ziweze kuwasaidia wazazi na walezi kupata nafuu ya watoto wao, ambao wataweza kuwalipia ADA na hivyo waweze kwenda shule bila tatizo”. aliongeza Nyanda.

Jumla ya washindi kumi wa Ada, washindi kumi wa simu na washindi wanne wa Tv walipatikana, ili uweze kujishindia zawadi unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa kwa kutuma na kupokea pesa, kufanya malipo kwa M-pesa kwa kupitia namba *149*01#

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL
HABARI

MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In