ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

KATIBU WA CCM MIBURANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA VIONGOZI WA MATAWI

I am Krantz by I am Krantz
Feb 28, 2022
in HABARI
0
KATIBU WA CCM MIBURANI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA VIONGOZI WA MATAWI
0
SHARES
271
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Miburani wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam, Amiri Matimbwa amesema kwamba malengo yao kama Chama kwa sasa ni kuhamasisha Wanachama wao kujisajili katika mfumo wa kadi za kieletroniki.

RelatedPosts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

Mar 21, 2023

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

Mar 21, 2023

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

Mar 21, 2023
Load More

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Miburani wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam, Amiri Matimbwa amewataka viongozi wa matawi na mashina katika Kata hiyo kuhakikisha wanahamasisha kikamilifu Wanachama kujiandikisha katika mfumo wa kadi za kieletroniki.

Matimbwa ametoa malekezo hayo leo February 26, 2022 alipokuwa anazungumza kwenye Mkutanao Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani uliofanyika kwenye ukumbi wa Idd Nyundo, Temeke.

“Malengo na mikakati yetu kipindi hiki ni kuhamasisha Wanachama wetu kujisajili katika mfumo wa kadi za kieletroniki na kusajili Wanachama wapya.

“Hivyo niwaombe sana viongozi wa matawi na mashina kuhakikisha mnajitoa kuhamasisha Wanachama kujiandikisha katika mfumo huu wa kieletroniki ikiwa ni kurahisisha kuwahudumia na kuwatambua wanachama wa CCM kwa urahisi.” alisema Matimbwa

ADVERTISEMENT

Kadi hizo zilizinduliwa rasmi Februari 5, 2022 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.

ADVERTISEMENT

Mchakato wa kadi hizo za kieletroniki ulianza Disemba 2018 ambapo mpaka sasa zaidi ya wanachama milioni 2,077,182 wamejiandikisha.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
February 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In