ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Sunday, May 22, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC atembelea kituo cha huduma kwa wateja cha kampuni hiyo na kujionea shughuli mbalimbali.

Apata fursa ya kujitambulisha kwa watoa huduma

I am Krantz by I am Krantz
Feb 7, 2022
in HABARI
0
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC atembelea kituo cha huduma kwa wateja cha kampuni hiyo na kujionea shughuli mbalimbali.
0
SHARES
93
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo,  Rosalynn Mworia (kulia) na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja, Harriet  Lwakatare  (kushoto) wakati mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo alipotembelea kituo cha huduma kwa wateja kilichopo Mlimani city jijini Dar es Salaam na kutoa tuzo na zawadi kwa wafanyakazi bora wa robo ya mwisho ya mwaka 2021 na kuwaasa kuzingatia maadili na kutoa huduma bora zaidi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (kulia) akipata maelezo ya namna wateja wanavyohudumiwa kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa kituo cha huduma kwa wateja Vodacom,  Jombo Mkono wakati Mkurugenzi huyo alipotembelea kituo hicho kilichopo mlimani city jijini Dar es Salaam ili kujitambulisha na pia kuona mambo mbalimbali.

RelatedPosts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MEI 6, 2022 / BEI YA PETROLI KILIO KILA KONA / WABUNGE WACHARUKA KUPAA BEI YA MAFUTA / MAKAMBA AMALIZA UTATA BEI YA MAFUTA

BUNDI ATUA NCCR – MAGEUZI / TUNDU LISSU, LEMA WACHOKA MAISHA YA UGHAIBUNI / MAGAZETI YA LEO MEI 22, 2022

May 21, 2022

AFRIKA NZIMA ITAKAA KWENYE TV KUANGALIA SIMBA IKICHEZA FAINALI MICHUANO YA AFRIKA – AHMED ALLY

May 21, 2022

MADHARA YA KUPAKA MATE UKENI WAKATI WA TENDO LA NDOA

May 21, 2022
Load More
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose akimkabidhi cheti Erick Mkunda kwa kutambua mchango wake katika kuhudumia wateja wa  kampuni ya Vodacom
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose akizungumza  na wafanyakazi wa  kituo cha huduma kwa wateja Vodacom  kilichopo Mlimani city jijini Dar es Salaam na kutoa tuzo na zawadi kwa wafanyakazi bora wa robo ya mwisho ya mwaka 2021 na kuwaasa kuzingatia maadili na kutoa huduma bora zaidi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (kulia) akipata maelezo ya namna wateja wanavyohudumiwa kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa kituo cha huduma kwa wateja Vodacom,  Jombo Mkono wakati Mkurugenzi huyo alipotembelea kituo hicho kilichopo mlimani city jijini Dar es Salaam ili kujitambulisha na pia kuona mambo mbalimbali.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MEI 6, 2022 / BEI YA PETROLI KILIO KILA KONA / WABUNGE WACHARUKA KUPAA BEI YA MAFUTA / MAKAMBA AMALIZA UTATA BEI YA MAFUTA
HABARI

BUNDI ATUA NCCR – MAGEUZI / TUNDU LISSU, LEMA WACHOKA MAISHA YA UGHAIBUNI / MAGAZETI YA LEO MEI 22, 2022

by Shabani Rapwi
May 21, 2022
TUMEUMIZWA NA MATOKEO YA JANA – AHMED ALLY
HABARI

AFRIKA NZIMA ITAKAA KWENYE TV KUANGALIA SIMBA IKICHEZA FAINALI MICHUANO YA AFRIKA – AHMED ALLY

by Shabani Rapwi
May 21, 2022
MADHARA YA KUPAKA MATE UKENI WAKATI WA TENDO LA NDOA
HABARI

MADHARA YA KUPAKA MATE UKENI WAKATI WA TENDO LA NDOA

by Shabani Rapwi
May 21, 2022
JAMES MBATIA ASIMAMISHWA NCCR-MAGEUZI
HABARI

JAMES MBATIA ASIMAMISHWA NCCR-MAGEUZI

by Shabani Rapwi
May 21, 2022
ALIYOFANYA MIQUISSON, SAKHO AMESHINDWA KUFANYA
HABARI

ALIYOFANYA MIQUISSON, SAKHO AMESHINDWA KUFANYA

by Shabani Rapwi
May 21, 2022
BOCCO ANASTAILI HESHIMA KATIKA SOKA LA TANZANIA
HABARI

BOCCO ANASTAILI HESHIMA KATIKA SOKA LA TANZANIA

by Shabani Rapwi
May 21, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s

KONCEPT TV
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

February 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28  
« Jan   Mar »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In