ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Furaha yageuka karaha kwenye ndoa

I am Krantz by I am Krantz
Mar 29, 2022
in HABARI
0
Furaha yageuka karaha kwenye ndoa
0
SHARES
108
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

Mar 24, 2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Machi 24,2023

Mar 24, 2023

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Mar 23, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Watu wanapofikia kiwango cha kufunga ndoa huwa ni watu ambao tayari wamekaa kwa muda katika mahusiano na kuweza kufahamiana kwa kiasi fulani. Ama kweli ndoa vazi la stara. Katika mtaa mmoja kule Mtwara Tanzania alikuwepo mwanadada mmoja kwa jina Sabrina aliyekuwa ameolewa na mwanamume kwa jina la Shirima. Waliishi kwa furaha tele kwa muda mrefu sana bila misuguano ya hapa na pale. Kila siku mume wake akitoka kazini ilikuwa lazima angemletea vizawadi. Alipendeza sana na kunawiri kwani kila alichokitaka alikipata.
Baada ya muda Sabrina alipata uja uzito wa mume wake na hapo ndipo furaha iliongezeka hata zaidi kwani mumewe alitamani sana kujaaliwa mtoto. Ilipotimia miezi tisa, Sabrina alijifungua salama. Shirima alipopata habari kwamba mke wake amejifungua na tena mtoto wa kiume alipatwa na furaha isiyokifani. Alitoka ofisini mapema siku hiyo kwenda kumwona mkewe na malaika huyu mgeni. Alipofika hospitalini alimpata mkewe hana furaha kabisa, akashangaa inakuwaje kwamba kajifungua salama lakini hana furaha tena?
Alipofunua yule malaika kiumbe alipigwa na mshangao mkubwa sana na pale kuanza kuzua varangati kwa mkewe na kumuita malaya kwani alisema huyo hakuwa mwanawe. Masaibu yalianza pale ambapo familia iliyokuwa yenye furaha sana ilianza kuwa yenye majonzi mengi kila uchao. Lawama yote kutokana na hali ya mtoto ikamgeukia Sabrina asijue afanyeje. Ulikuwa ni wakati mgumu sana kwake Sabrina kwani alianza hata kupokea kichapo na matusi yasiyokwisha. Ilifikia kipindi ambapo Sabrina alifukuzwa na mumewe na hapo akarejea kwao kwani alnusura afe mikononi mwa mumewe.
Aliporejea nyumbani kwao wazazi hawakumwelewa kabisa kwani hawakuwahi kuona mtoto mwenye kichwa kikubwa kiasi kile. Baada ya siku kadhaa nao pia walianza kumwona kama mtu mwenye mkosi kwa jamii yao na kuwa wanamkashifu kwa tatizo ambalo hakujua chanzo chake kwa kweli. Sabrina alikaa kwa huzuni sana kila wakati asipate wa kumsaidia, kwani kila aliyesema nae alimuona mwenye kasoro.
Lakini kwa kweli Mungu hamwachi Mja wake. Siku moja alipokuwa akielekea kuteka maji kisimani,alikutana na baba mmoja mtu mzima ambaye aligundua lipo tatizo katika maisha yake. Sabrina alimueleza matatizo aliyokuwa akipitia na yule baba akamuelekeza kwa Kiwanga doctors alipowahi kuponea kisukari. Sabrina japo kishingo upande alikubali agizo la yule baba na kuandamana na mwanawe hadi kwa Kiwanga kule ambapo aligundua kuwa tatizo lake lilikuwa dogo sana. Alipewa dawa ambazo alitakiwa kumpa mwanawe kwa siku kumi na tano pekee.
Zilipopita zile siku akifuata maagizo ya yule daktari wa Kiwanga, kwa kweli kichwa kilirejea cha kawaida kama cha watoto wa rika lake na hapo Sabrina akarejea katika hali yake ya furaha, lakini akaapa kutorudi kwa mumewe kwani alimkataa wakati wa dhiki alipomhitaji zaidi. Ama kweli Kiwanga doctors ni sehemu ya manufaa na utulivu wa moyo.

ADVERTISEMENT

Kiwanga doctors wanauwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile saratani ya kibofu, Ugonjwa wa moyo miongoni mwa mengine. Vile vile wanatoa huduma kama vile kupata kazi, kusafisha nyota, kulinda mali na hata kumrejesha mpenzi aliyetoroka.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia +254 769404965,
E-mail:kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti www.kiwangadoctors.com
.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Machi 24,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
HABARI

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA
HABARI

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI
HABARI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati
HABARI

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

by I am Krantz
Mar 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In