ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Sunday, May 22, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Harusi ya Nandy na BILL Nass Mwezi wa Sita Mwaka Huu

I am Krantz by I am Krantz
Mar 29, 2022
in BURUDANI
0
Harusi ya Nandy na BILL Nass Mwezi wa Sita Mwaka Huu
0
SHARES
44
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT


Staa wa muziki wa Bongofleva, msanii @officialnandy akizungumza leo kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm, amefunguka kuwa yeye na mchumba wake @billnass hawaishi pamoja ila huwa wanatembeleana.
“Hatuishi pamoja na Billnass lakini huwa anakuja kulala kwangu na mimi nalala kwake huo ndio utaratibu na tayari ameshalipa mahari” – ameeleza Nandy.

Aidha Nandy amebainisha kuwa harusi yao ni mwezi wa SITA mwaka huu.

RelatedPosts

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

May 22, 2022

19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI

May 22, 2022

MANULA AKATWA NA KIOO

May 22, 2022
Load More

“Kabla ya harusi kutakuwa na sendoff, kitchen party, reception, usiku wa vyombo na singo. Wapare hatuna shughuli ndogo, harusi yangu itakuwa mwezi wa Sita” amesema.

ADVERTISEMENT

Kadhalika na mahusiano waliyonayo, wawili hao wamekuwa wakishirikisha sana katika muziki ambapo hadi sasa wameweza kutoka ngoma tatu pamoja, “Bugana”, “Do Me” na “Party”.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

Wema Sepetu Atoa Neno “Lulu Michael ni Mdogo Wangu Naweza Mpiga Hata KOFI, Mkiona Tunagombana Tulia”
BURUDANI

Wema Sepetu Atoa Neno “Lulu Michael ni Mdogo Wangu Naweza Mpiga Hata KOFI, Mkiona Tunagombana Tulia”

by I am Krantz
Apr 27, 2022
AKAUNTI YA DIAMOND YAFUTWAA YOUTUBE
BURUDANI

AKAUNTI YA DIAMOND YAFUTWAA YOUTUBE

by Ally Hamis Zingizi
Apr 25, 2022
‘Wonder’ ya Diamond yapiga sekunde 59 bila ‘view’ YouTube, Harmonize akiweka rekodi ya sekunde 24 na ‘views’ 1.3M
BURUDANI

‘Wonder’ ya Diamond yapiga sekunde 59 bila ‘view’ YouTube, Harmonize akiweka rekodi ya sekunde 24 na ‘views’ 1.3M

by I am Krantz
Apr 20, 2022
RASIMU YA MAADHIMISHO YA MIAKA  25 YA ZIFF
BIASHARA

RASIMU YA MAADHIMISHO YA MIAKA  25 YA ZIFF

by Ally Hamis Zingizi
Apr 19, 2022
SINA UGONJWA WOWOTE
BURUDANI

SINA UGONJWA WOWOTE

by Ally Hamis Zingizi
Apr 17, 2022
MARCUS RASHFORD MECHI 300 AKIWA UNITED
BURUDANI

MARCUS RASHFORD MECHI 300 AKIWA UNITED

by Ally Hamis Zingizi
Apr 16, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s

KONCEPT TV
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In