ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Kambi ya Kiduku yamjibu Mcongo kuhusu ubora wa Mwakinyo

I am Krantz by I am Krantz
Mar 27, 2022
in HABARI
0
Kambi ya Kiduku yamjibu Mcongo kuhusu ubora wa Mwakinyo
0
SHARES
137
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Saa chache baada ya Alex Kabangu kumtaja Hassan Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora nchini Tanzania, kambi ya bondia Twaha Kiduku imemjibu bondia huyo wa DR Congo ambaye siku wa kumkia leo amechapwa kwa pointi na Kiduku.

Kabangu muda mfupi baada ya kuchapwa na Kiduku kwa pointi mjini Morogoro, alimtaja Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora kati ya mabondia wa Tanzania.

RelatedPosts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

Mar 21, 2023

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

Mar 21, 2023

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

Mar 21, 2023
Load More

“Kwa Tanzania, Mwakinyo ndiye bondia bora, hakuna zaidi yake,” alisema Kabangu, kauli ambayo kocha wa Kiduku, Power Iranda amesema ni ya mkosaji.

“Yeye akubali akatae amepigwa bila ubishi, hayo ya kumtaja Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora ni maneno ya mkosaji tu,” amesema kocha huyo wa muda mrefu wa Kiduku.

Amesema Kabangu kumtaja Mwakinyo kuwa ni bora baada ya kupigwa na Kiduku ni kama anataka kutengeneza njia ya kucheza pambano na bondia huyo.

“Anataka tu kuwa kwenye midomo ya mashabiki wa ngumi, kusema Mwakinyo ndiye bondia bora kwenye pambano la Kiduku ni kutengeneza tu sintofahamu kwa mashabiki, ingawa binafsi namuona Kiduku ni bora zaidi.

ADVERTISEMENT

Amesema Kabangu ni kama amekutana na sapraizi ambayo hakuitarajia kutoka kwa Kiduku, na hakutegemea Kiduku angebadilika na kucheza ngumi licha ya kutaka kumtoa kwenye mchezo lakini imekuwa tofauti.

ADVERTISEMENT

“Baada ya kuona mbinu zake ikiwamo kucheza faulo kushindwa kufanikiwa, ameamua kumtumia Mwakinyo, hayo ni maneno ya mkosaji, akubali amepigwa ili akajipange upya,” amesema.

Mmoja wa viongozi wa Kabangu, Robert Kalisa amesema Kiduku ni bondia mzuri na amecheza vizuri na wanajipanga kwa mchezo wa marudiano baadae Julai.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In