ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Kishindo fainali NMB MastaBata, Mil. 90/- kwa washindi 30.

I am Krantz by I am Krantz
Mar 23, 2022
in BIASHARA
0
Kishindo fainali NMB MastaBata, Mil. 90/- kwa washindi 30.
0
SHARES
126
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT


Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya Nmb, Filbert Mponzi (wa tatu kulia) akibonyeza kitufe kuashiria kuchezesha Droo ya mwisho ya msimu wa tatu wa Kampeni ya NMB MastaBata Kivyako Vyako.Kutoka kushoto ni Meneja NMB Kanda ya Dar es Salaam, Donatus Richard, Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi Benki ya NMB, Aikansia Muro na Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania, Elibariki Sengasenga, (kulia) ni Meneja Mwandamizi kitengo cha Kadi, Manfredy Kayala na Balozi wa Kampeni hiyo, Masoud Kipanya.

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

 

MIEZI mitatu ya Kampeni ya ‘NMB MastaBata – Kivyako Vyako,’ iliyoendeshwa na Benki ya NMB, imefikia tamati leo kwa wateja 30 kujinyakulia kitita cha Sh. Mil. 90 (sawa na Mil. 3 kila mmoja), hivyo kukamilisha kinyang’anyiro kilichobeba zawadi ya pesa taslimu Sh. Mil. 240.

 

Hitimisho ‘Grand Finale’ la kampeni hiyo, limefanyika NMB Tawi la Sinza jijini Dar es Salaam, kufikia ukomo kwa mchakato uliowanufaisha wateja 1,080, kati yao 1,000 wakijinyakulia Sh. Milioni 100 (sawa na Sh. 100,000 kila mmoja), huku 50 wakitwaa Sh. Mil. 50 (sawa na Mil. 1 kila mmoja) na 30 wa fainali wakishinda Mil. 90 hizo.



 

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi, alisema malengo ya kampeni hiyo, ambayo ni kuhamasisha matumizi ya kadi badala ya pesa taslimu, yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa na kumekuwa na ongezeko la asilimia 10 ya watumiaji wa kadi. 




Huu sio mwisho, kampeni hizi zitaendelea na tutaendelea kutoa elimu kwa jamii itambue umuhimu wa kutumia kadi badala ya pesa taslimu, kwa sababu ni rahisi, nafuu na salama zaidi. 


ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1
BIASHARA

TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
TCB YATOA MSAADA WA MABATI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI BUTIAMA
BIASHARA

TCB YATOA MSAADA WA MABATI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI BUTIAMA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 22, 2023
MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)
BIASHARA

MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023
BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO
BIASHARA

BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO

by ALFRED MTEWELE
Mar 14, 2023
USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI
BIASHARA

USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI

by ALFRED MTEWELE
Mar 9, 2023
BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI   KWA  WANAWAKE WAJASIRIAMALI
BIASHARA

BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by I am Krantz
Mar 9, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In