ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MAADHIMISHO YA SIKU YA VIWANGO AFRIKA KITAIFA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA

I am Krantz by I am Krantz
Mar 26, 2022
in BIASHARA
0
MAADHIMISHO YA SIKU YA VIWANGO AFRIKA KITAIFA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA
0
SHARES
128
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT



Afisa Viwango TBS, Bw.Henry Massawe akizungumza na waandiishi wa habari leo katika Ofisi za Makao Makuu ya TBS Jijini Dar es salaam.

*********************

RelatedPosts

TBS YATOA ELIMU YA UTHIBITI UBORA KWENYE MAONESHO YA BIASHARA TANGA

TBS YATOA ELIMU YA UTHIBITI UBORA KWENYE MAONESHO YA BIASHARA TANGA

May 31, 2022

TBS YAFANYA UKAGUZI WA AWALI GARI LINALOTUMIA SOLA

May 31, 2022

DC MWAISUMBE AWATAKA WAJASIRIAMALI KUTUMIA HUDUMA ZA TBS KUBORESHA BIDHAA ZAO

Apr 1, 2022
Load More

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

KATIKA kuelekea Siku ya Viwango Afrika, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limepanga kukutana na wadau ili kujadiliana ushiriki wao katika shughuli za uandaaji wa Viwango ambapo itafanyika kwenye ofisi za TBS Kanda Mkoa wa Arusha tarehe 29 hadi 31 Machi mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Afisa Viwango TBS, Bw.Henry Massawe amesema wameandaa mkutano wa wadau wa sekta ya Utalii kufanya majadiliano kuona mchango wa viwango ukitumika vizuri katika kukuza sektarisch hio. Pia maeneo gani ambayo yanaonekana yanauhitaji wa Viwango.

Amesema watawakutanisha pia wadau wa umeme na kutoa elimu katika Viwango vya nyaya za Umeme hususani katika eneo la mabadiliko ya rangi za nyaya za umeme, kumetokea mabadiliko katika viwango rangi za nyaya za umeme lakini utekelezaji wake umekuwa na changamoto hivyo ni fursa pekee kwa wadau wa Umeme kushiriki na kujadiliana njia bora ya utekelezaji wa Viwango husika.

“Tutawakutanisha watueleze ni changamoto gani ipo lakini maeneo gani kama TBS tunahitaji kufanya viwango tuwekeze huko”. Amesema Bw.Massawe.

Aidha Bw.Massawe amesema tarehe 31, Machi 2022 ambapo maadhimisho hayo yatakuwa tamati kwa Tanzania, watakuwa na na kutaoneshwa kwa vitendo moja ya utaratibu wa kuandaa Viwango kupitia kamati za kitaalamu. Kamati ya kitaalamu itakuwa na Kikao na namna ya majadiliano ya kuandaa Viwango vya kitaifa na wageni waalikwa watakuwa kama wafuatiliaji.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Ameeleza kuwa siku hiyo kutakuwa na tukio maalumu la ugawaji zawadi kwa washindi wa shindano la uandishi wa Isha kwa wanafunzi wa elimu ya Juu, shindano ambalo lilianza Rasmi Novemba 25 , 2021 ambapo isha 223 zilipokelewa.

“Tumesahihisha hizi Isha 223 tukapata isha bora 10 ambapo wameeleza vizuri mchango wa Viwango katika kutatua changamoto mbalimbali za magonjwa ya milipuko, insha zimeeleza vizuri, viwango ni nini, changamoto mbalimbali ambazo zililikumba bara la Afrika katika kuagiza vifaa tiba na madawa katika kupambana na UVIKO -19 “. Amesema

Related

Tags: TBS
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO
BIASHARA

BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO

by ALFRED MTEWELE
Mar 14, 2023
USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI
BIASHARA

USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI

by ALFRED MTEWELE
Mar 9, 2023
BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI   KWA  WANAWAKE WAJASIRIAMALI
BIASHARA

BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by I am Krantz
Mar 9, 2023
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
BIASHARA

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

by I am Krantz
Feb 3, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi
BIASHARA

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023
TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA CEMENT UJENZI WA KITUO CHA POLISI KIBURUGWA
BIASHARA

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA CEMENT UJENZI WA KITUO CHA POLISI KIBURUGWA

by Ally Hamis Zingizi
Jan 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In