Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mtoto wa @willsmith wa Kiume @c.syresmith Ameonesha kupendezwa na Kitendo cha baba yake kumzaba kofi zito Mchekeshaji @chrisrock baada ya kuleta utani kwa Mke wake @jadapinkettsmith Ambapo #willsmith alionesha kutokupendezwa na kitendo kile.
Follow Us
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.