ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Sunday, May 22, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Rais wa Marekani: Putin hawezi kubaki madarakani

I am Krantz by I am Krantz
Mar 27, 2022
in HABARI
0
Rais wa Marekani: Putin hawezi kubaki madarakani
0
SHARES
43
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Maoni ya Rais wa Marekani Joe Biden kwamba rais wa Urusi Vladimir Putin “hawezi kubaki madarakani” yamesababisha ukosoaji mkubwa kutoka kwa mwanadiplomasia mkongwe wa Marekani Richard Haass.

Maoni hayo “yalifanya hali kuwa mbaya zaidi na hatari zaidi,” aliandika kwenye kurasa yake ya tweeter Bw Haass, ambaye ni rais wa Baraza la Mahusiano ya Kigeni la Marekani.

RelatedPosts

Pigo kwa Rais Putin mshauri wake akijiuzulu na kutoroka Urusi

Pigo kwa Rais Putin mshauri wake akijiuzulu na kutoroka Urusi

Mar 24, 2022
Load More

“Hii ni dhahiri,” aliongeza. “tofauti na kutengua uharibifu huo, lakini ninapendekeza wasaidizi wake wakuu wawafikie washirika wake na kuweka wazi kuwa Marekani iko tayari kukabiliana na serikali hii ya Urusi.”

ADVERTISEMENT

Bw Haass alirejea kwenye mada hiyo baada ya Ikulu ya White House kuhitimisha matangazo ya Rais Biden, akisema: “Ikulu ya White House ikitoa wito wa mabadiliko ya serikali ya Putin.

“Putin ataona kama uthibitisho wa kile anachoamini wakati wote. Ukosefu mbaya wa nidhamu ambao una hatari ya kuongeza wigo na muda wa vita.”

Related

Tags: PUTIN
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA
HABARI

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI
HABARI

19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
MANULA AKATWA NA KIOO
HABARI

MANULA AKATWA NA KIOO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
NAMUNGO WAPEWA ALAMA TATU, KOCHA MAKATA AFUNGIWA MIAKA MITANO
HABARI

MAKATA, NAFTARI WAOMBA RADHI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA
HABARI

VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO
HABARI

AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s

KONCEPT TV
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In