“Kikao kilichofanyika jana kimevunja katiba. Shirikisho wanachama wake ni vyama, sio individual musician (mwanamuziki mmoja mmoja). Wanavyoongea hapa wanamuziki wanajifurhisha tu, walitakiwa kupeleka malalamiko kwenye vyama vyao.” – Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Steven Mengele maarufu Steve Nyerere akizumgumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Machi 22, 2022.