Mabao ya Tanzania yamefungwa na Neema Kinega dakika ya 28 na Clara Luvanga matatu dakika za 62, 63 na 81 na kwa matokeo hayo inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 11-0 kufuatia kuwachapa Botswana 8-0 kwenye mechi ya kwanza Zanzibar.
Sasa Tanzania itamenyana na Burundi kuwania kuingia hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya India baadaye mwaka huu.TANZANIA YASONGA MBELE KOMBE LA DUNIA WASICHANA U17
Mabao ya Tanzania yamefungwa na Neema Kinega dakika ya 28 na Clara Luvanga matatu dakika za 62, 63 na 81 na kwa matokeo hayo inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 11-0 kufuatia kuwachapa Botswana 8-0 kwenye mechi ya kwanza Zanzibar.
Sasa Tanzania itamenyana na Burundi kuwania kuingia hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya India baadaye mwaka huu.