ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, March 22, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

TBS YATOA MAFUNZO YA UDHIBITI SUMUKUVU KWENYE MAZAO JIJINI TANGA

I am Krantz by I am Krantz
Mar 30, 2022
in HABARI
0
TBS YATOA MAFUNZO YA UDHIBITI SUMUKUVU KWENYE MAZAO JIJINI TANGA
0
SHARES
245
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Hashim Mgandilwa akifungua mafunzo kuhusu udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya mahindi, karanga, Viungo vya chakula pamoja na bidhaa zake kwa wajasiriamali kutoka katika Jiji la Tanga.Meneja wa Mafunzo na Utafiti TBS, Mwl.Hamisi Mwanasala akizungumza kwenye Ufunguzi wa mafunzo kuhusu udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya mahindi, karanga, Viungo vya chakula pamoja na bidhaa zake kwa wajasiriamali kutoka katika Jiji la Tanga. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Bi.Sipora Jonathan akizungumza katika Ufunguzi wa mafunzo kuhusu udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya mahindi, karanga, Viungo vya chakula pamoja na bidhaa zake kwa wajasiriamali kutoka katika Jiji la Tanga. Naibu Meya wa Jiji la Tanga Bw.Joseph Colvas akizungumza katika Ufunguzi wa mafunzo kuhusu udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya mahindi, karanga, Viungo vya chakula pamoja na bidhaa zake kwa wajasiriamali kutoka katika Jiji la Tanga. Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Hashim Mgandilwa akipata picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa viwango katika Ufunguzi wa mafunzo kuhusu udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya mahindi, karanga, Viungo vya chakula pamoja na bidhaa zake kwa wajasiriamali kutoka katika Jiji la Tanga.

****************

NA MWANDISHI WETU

RelatedPosts

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

MECHI ZITASIMAMA EPL KUPISHA ‘IFTAR’

Mar 21, 2023

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

Mar 21, 2023

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

Mar 21, 2023
Load More

Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Hashim Mgandilwa amelipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa jitihada inazozifanya za kuendesha mafunzo kwa lengo la kuelimisha wajasiriamali na umma kwa ujumla juu viwango na ubora wa bidhaa hususani bidhaa za chakula.

Ametoa pongezi hizo leo tarehe 29/03/2022 wakati akifungua mafunzo kuhusu udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya mahindi, karanga, Viungo vya chakula pamoja na bidhaa zake kwa wajasiriamali kutoka katika Jiji la Tanga.

Amesema Umuhimu wa chakula unasababisha suala la usalama kupewa kipaumbele katika kulinda afya ya jamii na uchumi wa nchi na kuwa kigezo muhimu katika biashara ya kitaifa na kimataifa.

“Chakula kisicho salama husababisha madhara ya kiafya na hata vifo kwa walaji pamoja na kusababisha athari za kiuchumi. Hata hivyo, usalama wa chakula unakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchafuzi wa sumukuvu ambayo husababisha madhara ya kiafya na hata kiuchumi”. Amesema

ADVERTISEMENT

Aidha amewasihi wasindikaji na wazalishaji wa mazao kuzingatia mikakati ya kukabiliana na changamoto ya sumukuvu ili vyakula vyetu viendelee kuwa salama kwa muda wote.

Kwa upande wake Meneja wa Mafunzo na Utafiti Mwl.Hamisi Mwanasala amesema mafunzo hayo ni mojawapo ya fursa muhimu ya kuelimisha jamii juu ya kukabiliana na sumukuvu ili kulinda afya za wananchi na kuwezesha biashara ya chakula.

“Ili kuimarisha usalama wa chakula dhidi ya sumukuvu, TBS inatekeleza mikakati mbalimbali, ikiwemo udhibiti wa sumukuvu kwenye chakula hususani mazao ya mahindi, karanga na viungo vya chakula ambayo ndiyo yenye uwezekano mkubwa wa kuchafuliwa na sumukuvu”. Amesema Mwl.Mwanasala.

Amesema TBS inatoa elimu kwa wadau katika mnyororo wa thamani wa mazao ya chakula kwani jamii ikielimika itatoa mchango zaidi katika kukabiliana na sumukuvu.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI
HABARI

AFUNGIWA MIAKA 40 KUTOINGIA UWANJANI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA
HABARI

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI KENYA

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI
HABARI

WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI WATOA MWILI WA MAREHEMU NA KUONDOKA NA SEHEMU ZA SIRI

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
BIKIRA JANE APATA MTOTO
HABARI

BIKIRA JANE APATA MTOTO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023
ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA
HABARI

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE ASOMEWA MASHTAKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 21, 2023
SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO
HABARI

SEVILLA YAMFUTA KAZI KOCHA JORGE SAMPOLI NA KUMTEUA KOCHA HUYO

by Shabani Rapwi
Mar 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In