ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Uwajibikaji wa NMB kwa jamii wagusa wengi Tabora, Kigoma na Shinyanga

I am Krantz by I am Krantz
Mar 23, 2022
in HABARI
0
Uwajibikaji wa NMB kwa jamii wagusa wengi Tabora, Kigoma na Shinyanga
0
SHARES
94
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT



Wanafunzi wa shule ya Sekondari Nkundutsi iliyopo Kasulu, Kigoma wakiwa wamekalia viti na kutumia meza viilivyotolewa kwa shule hiyo na Benki ya NMB.


Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Uhuru ya Shinyanga mjini wakiwa wamekalia viti na kutumia meza vilivyotolewa kwa shule hiyo na Benki ya NMB kama msaada kupunguza uhaba wa vifaa hivyo.

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

Moja ya sababu kubwa ya kuifanya Benki ya NMB kuendelea kuwa benki kubwa na kinara katika utoaji wa huduma za fedha hapa nchini ni jinsi benki hii ilivyo jitoa katika kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii yetu.

Kwa namna ya kipekee, benki hii imekuwa ikishiriki katika masuala mbalimbali hususani katika sekta ya afya na elimu.
Kama ilivyo katika mikoa mingine yote nchini, mikoa ya Tabora, Kigoma na Shinyanga imekuwa wanufaika wakubwa wa namna benki hii inavyowajibika kwa jamii.

ADVERTISEMENT

Ziara maalum ya watumishi wa Benki ya NMB katika mikoa hii wameshuhudia wanufaika wa misaada hiyo wakieleza namna ambavyo mchango wa NMB katika taasisi zao umekuwa chachu ya hatua kubwa sana za kimaendeleo kwao na jamii kwa ujumla.

Kwa mwaka 2021 mikoa hii ya Tabora, Shinyanga na Kigoma, jumla ya shule 23 zilipata madawati na kusaidia katika kuwatengenezea mazingira mazuri ya kusomea kwa wanafunzi. Hii imekuwa chachu ya ufaulu na kupunguza utoro kwa wanafunzi kwani wengi wao sasa hukaa katika madawati na madarasa yalioezekwa.


Sehemu ya Vitanda vilivyotolewa na Benki ya NMB kwa Hospitali ya Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora.

Vilevile, taasisi 12 zilipata vifaa vya kuezeka huku vituo vya afya vinne vikipata vifaa tiba vinavyosaidia na kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wakazi wa maeneo hayo.

Vifaa vya hospitali vilivyotolewa katika hospitali na vituo vya afya mbalimbali katika mikoa hiyo, vimekuwa chachu ya kuongeza idadi ya wagonjwa wanaohudumiwa kwa ufasaha pamoja na kupunguza changamoto walizokuwa wanakumbana nazo. Suala la wagonjwa kulala wawili wawili katika vitanda linamalizwa na vitanda vinayotolewa na taasisi hii ya fedha kubwa zaidi nchini.

Mashuka, vitanda vya kujifungulia, vifaa vya kuezeka ni vitu vingine pia ambavyo benki ya NMB imekuwa ikitoa kwa Hospitali na vituo vya afya katika mikoa ya Tabora, Kigoma na Shinyanga. Hospitali za wilaya na hata zahanati zimekuwa wanufaika wakubwa sana wa uwajibikaji huu wa NMB kwa jamii.

End

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE
HABARI

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA
HABARI

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII
HABARI

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI
HABARI

WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
HABARI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
HABARI

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by I am Krantz
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In