ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Washindi 100 wa droo ya 10 NMB MastaBata wapatikana

I am Krantz by I am Krantz
Mar 17, 2022
in HABARI
0
Washindi 100 wa droo ya 10 NMB MastaBata wapatikana
0
SHARES
113
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

DROO ya wiki ya mwisho ya msimu wa tatu wa Kampeni ya ‘NMB MastaBata Kivyako Vyako’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, ikilenga kuhamasisha matumizi ya kadi badala ya pesa taslimu imefanyika jijini Dar es Salaam leo, ambapo washindi 100 wamepatikana na hivyo kufanya jumla ya washindi waliozawadiwa kufikia 950. Washindi hao 100 walijinyakulia kiasi cha Sh. Mil. 10 (sawa na Sh. 100,000 kila mmoja), ambazo zinafanya zawadi za pesa zilizotolewa hadi sasa kufikia Sh. Mil. 150 kati ya Sh. Mil. 240 zinazoshindaniwa.

RelatedPosts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

Mar 27, 2023
Load More

Meneja Mwandamizi wa Kitengo cha Kadi wa NMB, Manfredy Kayala, alisema kumekuwa na mafanikio makubwa katika uhamasishaji wa matumizi yasiyohusisha pesa taslimu na kuwataka wateja kuendelea kutumia kadi zao na Vituo vya Mauzo (PoS), ili kujiongezea nafasi ya kushinda katika fainali.  
Droo hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya NMB, Mtaa wa Ohio jijini Dar es Salaam, ilichezeshwa chini ya uangalizi wa Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Irene Kawili, ambaye aliwahakikishia wateja kuwa washindi hupatikana kwa njia halali na kwamba vigezo na masharti vinazingatiwa.

ADVERTISEMENT

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Fatma Hassan Toufiq, amefanikiwa kuwa miongoni mwa washindi 100 wa droo ya 10 ya msimu wa tatu wa Kampeni ya ‘NMB MastaBata Kivyako Vyako’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, ikilenga kuhamasisha matumizi ya kadi badala ya pesa taslimu na alikiri kwamba yeye ni mteja wa muda mrefu wa NMB, na kwamba kwa kipindi chote hicho amekuwa ‘Balozi Mwema’ wa benki hiyo – miongoni mwa jamii inayomzunguka, wakiwemo wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaoshirikiano nao.
Kujiweka kwenye nafasi ya kushinda droo ya mwisho ya ‘Grand Finale’ ni rahisi, endelea kutumia NMB Mastercard kufanya malipo mtandaoni, kwa QR code au POS na unaweza kujiweka kwenye nafasi nzuri yakuingia kwenye draw.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL
HABARI

MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
March 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Feb   Apr »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In