ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

ACTL WATOA UFAFANUZI WA TAIRI LA NDEGE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 26, 2022
in HABARI
0
TRA YATOA MSAMAHA KWA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO VILIVYOINGIZWA NCHINI KINYUME CHA SHERIA
0
SHARES
364
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

Sep 26, 2023

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

Sep 26, 2023

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

Sep 26, 2023
Load More

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na habari iliyosambaa mitandaoni kuhusu hali ya matairi ya ndege zake ambayo inadaiwa kuwa hali yake inahatarisha usalama wa ndege na abiria.

–

“ATCL inamshukuru abiria huyu kwa kuonesha umakini kwa usalama wa abiria na ndege, ATCL hufanya ukaguzi wa lazima wa ndege zake zote katika maeneo yote ya ndege yakiwemo matairi baada ya safari zote za siku, kabla ya kuanza safari za siku na baada ya kila safari”

–

“Kwa mujibu wa rekodi zilizowekwa na ATCL, tairi ya ndege tajwa lilikuwa na mruko mmoja tangu tangu kubainika kulika kwa tabaka la kwanza hivyo kulikuwa na miruko saba zaidi hadi kufikia saba zaidi hadi kufikia ukomo wa matumizi yake kwa mujibu wa miongozo”

–

“Kwa misingi hiyo tairi hilo lilikuwa bado ni salama kutumia kwa mujibu wa miongozo iliyowekwa na Waundaji na kufuatwa na ATCL”

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE
HABARI

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.
HABARI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

by I am Krantz
Sep 26, 2023
WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU
HABARI

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU
HABARI

WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO
HABARI

TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
HALMASHAURI NCHINI KUZINGATIA UTOAJI LISHE MASHULENI
HABARI

HALMASHAURI NCHINI KUZINGATIA UTOAJI LISHE MASHULENI

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In