ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Adebayor “Suala la Kujiunga na Simba SC siwezi kusema lolote kwa sasa”

I am Krantz by I am Krantz
Apr 6, 2022
in MICHEZO
0
Adebayor “Suala la Kujiunga na Simba SC siwezi kusema lolote kwa sasa”
0
SHARES
260
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mkakati wa Mshambuliaji wa US Gendermerie Nationale, Victorien Adebayor kujiunga na Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Simba SC bado upo njia panda kufuatia mshambuliaji huyo kufungaka kwa undani juu ya mpango huo.

Adebayor alianza kuhusishwa na mpango wa kujiunga na Simba SC, kufuatia kuonyesha uwezo wake kwenye mchezo wa Mzunguko wa pili wa ‘Kundi D’ Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Mabingwa hao wa Tanzania mjini Niamey, Niger mwezi Februari na timu hizo kufungana 1-1.

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

Mshambuliaji huyo amesema: “Suala la kujiunga na Simba SC siwezi kusema lolote kwa sasa, ni vyema akaulizwa meneja wangu na viongozi wa USGN.”

“Nimesikia mara kadhaa nikihusishwa na mpango huo, lakini kama mchezaji sina budi kuheshimu hilo, kwa sababu ni jambo la kawaida kwa mchezjai kutajwa kwenye mipango ya usajili ya timu nyingine.”

“Sina tatizo mimi kuja kucheza Simba SC, mimi ni mchezaji ninaweza kucheza popote, hivyo kama Meneja wangu na viongozi wa USGN wakikubaliana mimi kuondoka na mambo mengine yakawekwa sawa, nitakuja hapa kucheza.”

ADVERTISEMENT

Kuhusu Mashabiki wa soka waliomuonyesha upendo na kulitaja jina lake kila wakati akiwa kwenye mchezo dhidi ya Simba SC, April 03, Adebayor amesema ni jambo jema kwake kuongeza mashabiki kila sehemu anapokwenda

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023
MICHEZO

NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA
MICHEZO

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
SIMBA VIJANA YALAMBA MIL 500 YA UDHAMINI
MICHEZO

SIMBA VIJANA YALAMBA MIL 500 YA UDHAMINI

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
BACCA’ HAKUAMINI ATAJWA KUANZA DHIDI YA US MONASTIR
MICHEZO

BACCA’ HAKUAMINI ATAJWA KUANZA DHIDI YA US MONASTIR

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
CHAMA AINGIA 10 BORA AFRIKA
MICHEZO

CHAMA AINGIA 10 BORA AFRIKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023
SIMBA YAWEKA HISTORIA MPYA KLABU BINGWA AFRIKA
MICHEZO

SIMBA YAWEKA HISTORIA MPYA KLABU BINGWA AFRIKA

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In