ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

AKAMATWA KWA KUCHEZEA SEHEMU ZA SIRI ZA MTOTO WA MIEZI 11

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 26, 2022
in HABARI
0
AKAMATWA KWA KUCHEZEA SEHEMU ZA SIRI ZA MTOTO WA MIEZI 11
0
SHARES
267
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

Jeshi la Polisi Mkoa Tanga linamshikilia Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 26 kwa ajili ya uchunguzi akituhumiwa kwa kumchezea Mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miezi 11 kwa kumpenyezea vidole sehemu zake za siri .

–

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema Baba huyo wa kambo anaishi Mtaa wa mikocheni eneo la Amboni Jijini Tanga na kwamba tukio hilo lilitokea April 11, 2022.

–

“Mtoto alikuwa amebebwa mgongoni na Mama yake, yule Baba kwakuwa hiyo michezo hiyo ameizoea akampenyezea Mtoto kidole sehemu zake za siri na Mama alikuja kutoa taarifa Polisi”

ADVERTISEMENT

–

Kamanda Jongo amesema Mama mzazi wa Mtoto ameeleza kwamba alibaini kuwepo kwa vitendo visivyo vya kawaida kwa Mtoto baada ya Mtoto kuwa na tabia ya kulia na kutoa harufu mbaya sehemu zake za siri.

–

ADVERTISEMENT

“Baada ya uchunguzi wa daktari ikathibitika ni kweli sehemu za siri za Mtoto huyo zipo wazi , hajaingiliwa kimwili lakini sehemu zake za siri zipo wazi ina maana yule Mtoto alikuwa akichezewa kwa muda mrefu” amesema Kamanda Jongo

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE
HABARI

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA
HABARI

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII
HABARI

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI
HABARI

WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
HABARI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
HABARI

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by I am Krantz
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In