ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

ALIYEUZIWA IPHONE BILA CHAJI KULIPWA FIDIA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 23, 2022
in HABARI
0
ALIYEUZIWA IPHONE BILA CHAJI KULIPWA FIDIA
0
SHARES
331
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

MKURUGENZI MPYA TANESCO APEWA MIEZI SITA TATIZO LA UMEME

MKURUGENZI MPYA TANESCO APEWA MIEZI SITA TATIZO LA UMEME

Sep 26, 2023

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

Sep 26, 2023

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

Sep 26, 2023
Load More

Jaji Vanderlei Caires Pinheiro wa nchini Brazili ameamuru kampuni ya Apple kumlipa mteja Dola $1,081 [Tsh 2,510,082.01] baada ya mteja wao kulalamika kuwa amenunua iPhone na hapakuwa na Charger ‘Adapter’ kwaajili ya Kuchaji simu hio kwenye Box.

Kwa mujibu wa Daily Mail, Jaji ameiagiza Apple kumlipa mteja kama hasara na fidia baada kuuziwa simu na kufanya kazi ya ziada ya kutafuta charger ya simu hio. Apple wamepewa siku 10 za kutii amri ya mahakama au adhabu itaongezeka na kuwa zaidi ya dola 2000 USD.

Apple inakisiwa kuuza iPhone milioni 190 duniani kote tangu hatua hiyo ya kutoweka Adapter kuanza, ni hatua kubwa iliyoshangiliwa na wanamazingira ila jaji Caires amesema “Sio sahihi kwamba hatua kama hiyo inalenga kupunguza madhara kwa mazingira wakati ushahidi unaonyesha kuwa Apple wanaendelea kutengeneza kifaa hicho na kukiuza kivyake.

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

MKURUGENZI MPYA TANESCO APEWA MIEZI SITA TATIZO LA UMEME
HABARI

MKURUGENZI MPYA TANESCO APEWA MIEZI SITA TATIZO LA UMEME

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE
HABARI

ESWATINI KUFANYA UCHAGUZI WA WABUNGE

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.
HABARI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, MH. SAADI MTAMBULE AZINDUA KITUO CHA MFUMO WA M-MAMA JIJINI DAR ES SALAAM.

by I am Krantz
Sep 26, 2023
WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU
HABARI

WAPATA UMEME KWA MARA YA KWANZA TANGU NCHI IPATE UHURU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU
HABARI

WAZIRI AWESO HATUWEZI KUFANYA KAZI PEKE YETU

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023
TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO
HABARI

TAMISEMI YATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA DADA WA KAZI KUKOSA MASOMO

by SUZO SHUKRANI
Sep 26, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In