ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Benki Ya CRDB Yashiriki Katika Kongamano La Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu

Na Kukabiliana Na Changamoto Mbalimbali Za Kiuongozi Pindi Wamalizapo Masomo

I am Krantz by I am Krantz
Apr 10, 2022
in BIASHARA
0
Benki Ya CRDB Yashiriki Katika Kongamano La Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu
0
SHARES
132
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Meneja Mafunzo wa Benki ya CRDB, Agnes Robert akitoa Mada kwa wanafunzi wa umoja wa vyuo vikuu AIESEC katika kongamano lililofanyika katika ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana. 


RelatedPosts

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

Aug 9, 2022

BENKI YA CRDB YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE KITAIFA, JIJINI MBEYA

Aug 2, 2022

WAZIRI MBARAWA AWATAKA WAKANDARASI NA WAZABUNI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEZESHAJI KUTOKA BENKI YA CRDB

Jul 21, 2022
Load More


ADVERTISEMENT
Meneja wa Mafunzo na Maendeleo ya Wafanyakzi wa Benki ya CRDB, Edith Myombela akizungumza na Baadhi ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam waliofika kwenye banda lao ili kufungua akaunti.


Benki ya CRDB imeshiriki katika kongamano la umoja wa Taasisi za Elimu ya Juu ya vyuo vikuu vyenye lengo la kuwajengea vijana sifa za uongozi kupitia mafunzo yanayotolewa na Taasisi mbalimbali ambao ni washirika wa umoja huo, ili waweze kuingia katika ushindani na kuzikabili changamoto katika soko la ajira. 


Benki ya CRDB imekuwa ni moja ya benki kiongozi nchini katika kuhakikisha inashiriki kuelimisha makundi ya vijana wa vyuo mbalimbali nchini kupitia program mbalimbali yakiwemo Mafunzo kwa vitendo ‘Field attachmets’, Mafunzo kazini ‘Ínternship’ na Programu maalumu ya Maendeleo ya wahitimu ‘Apprenticeship’ ambayo yalianzishwa mwaka 2020 kwa kuwachukua wahitimu 29 kutoka nchini Tanzania na 2 kutoka nchini Burundi. 

Pia Benki ya CRDB kila mwaka huchukua kati ya wanafunzi 300 hadi 500 na kuwaunganisha katika vitengo mbalimbali vilivyopo ndani ya benki hiyo na kwenye matawi yake yaliyosambaa kote nchini ilikuweza kuwapatia mafunzo ya vitendo. 


Wanafunzi wa vyuo nchini wamekuwa wakifurahia huduma mbalimbali za kibenki kutoka Benki ya CRDB ikiwa ni pamoja na upatikananji wa mikopo maarufu kama Boom Advance umekuwa ni mkombozi kwa wanafunzi wengi wanaotumia benki ya CRDB kwakujipatia mikopo rahisi hivyo kurahisisha kukabiliana na changamoto mbalimbali za kifedha. Pia Benki ya CRDB imewatengenezea akaunti maalumu ya wanafunzi wa vyuo ambayo gharama zake za kufungua akaunti hiyo ni shilingi za Kitanzania Elfu Tano tu (5,000). wastani wa mikopo 20,000 inatolewa kila Mwezi kwa wanafunzi mbalimbali nchini, na wastani wa akaunti 50,000 zinafunguliwa kila mwaka na wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu nchini. 


Kwa miaka mitano sasa Benki ya CRDB imekuwa Mshirika wa umoja wa Taasisi za Elimu ya juu za wanafunzi nchini Tanzania ‘AIESEC’.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: CRDB
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1
BIASHARA

TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
TCB YATOA MSAADA WA MABATI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI BUTIAMA
BIASHARA

TCB YATOA MSAADA WA MABATI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI BUTIAMA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 22, 2023
MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)
BIASHARA

MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023
BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO
BIASHARA

BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO

by ALFRED MTEWELE
Mar 14, 2023
USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI
BIASHARA

USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI

by ALFRED MTEWELE
Mar 9, 2023
BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI   KWA  WANAWAKE WAJASIRIAMALI
BIASHARA

BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by I am Krantz
Mar 9, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In