ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, October 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

BIBI HARUSI APATA TATIZO LA AKILI SIKU YA HARUSI YAKE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 25, 2022
in HABARI
0
BIBI HARUSI APATA TATIZO LA AKILI SIKU YA HARUSI YAKE
0
SHARES
244
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

Sep 29, 2023

TSO WAZINDUA GALA DINNER

Sep 29, 2023

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

Sep 29, 2023
Load More

Familia moja imeachwa na uchungu baada ya binti yao kupooza kiakili na kimwili siku ya harusi yake.

Wakizungumza na Afrimax, familia ya Faina, mwenye umri wa miaka 38 kutoka Rwanda, ilisema kuwa aliondoka nyumbani kwenda mjini kutafuta kazi baada ya kushindwa kumaliza shule kwa kukosa karo.

Baada ya kupata kazi ya kuwa kijakazi, alikuwa ndiye wa kutegemewa kuwachamia mkate na baadaye alikutana na mwanaume, na wakapendana.

Walianza kupanga harusi yao, hivyo akarudi kijijini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho, na hapo ndipo mambo yakaanza kwenda mrama.

Nzanzurwimo Kaitan, baba yake Faina, alisema jambo lisilo la kawaida lilitokea siku ya harusi. Bibi harusi wa wakati huo akiwa na umri wa miaka 20, alianza kulalamika kuhisi mgonjwa.

“Alianza kuumwa na kichwa, akahisi kizunguzungu na akaanza kuwa na wazimu mitaani. Faina hakuweza kuzungumza na kutembea, hivyo akaanza kutambaa.”

Harusi ikasitishwa, Faina akapelekwa hospitalini, akapata nafuu. Lakini hali yake ilizidi kuwa mbaya zaidi, na miguu yake ikakunjana, hivyo alishindwa kutembea.

Dada yake mkubwa, Alphonsine, alisema alishuku nguvu za giza zilisababisha janga hilo.

Mchumba wa Faina alingoja kwa miaka mitatu, lakini baadaye alikata tamaa na kumuoa mwanamke mwingine na kujaliwa watoto watatu.

Faina hutumia muda mwingi akiwa nyumbani kwa sababu hawezi kutembea, na familia yake sasa inaomba msaada wa kifedha ili kumnunulia kiti cha magurudumu.

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In