ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Bima ya Mkono wa Pole ya NMB inavyoleta matumaini kwa Wanavikundi

I am Krantz by I am Krantz
Apr 15, 2022
in HABARI
0
Bima ya Mkono wa Pole ya NMB inavyoleta matumaini kwa Wanavikundi
0
SHARES
139
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mwanakikundi anaweza kuchangia kwanzia Sh.500 mpaka Sh.2,000 kila mwezi na kupata fidia pale janga la kifo litakapotea kwanzia Sh. 1,000,000 mpaka Sh.5,000,000.
Bima hii imegawanyika katika makundi mawili yaani kifurushi vilivyo na wazazi na vifurushi na visivyo na wazazi
Kila kifurushi kina aina tatu ambavyo ni Shaba, Fedha na Dhahabu.
Kikundi kinatakiwa kuchagua kifurushi kimoja kwa wanakikundi wote.
Benki ya NMB ikishirikiana na makampuni zaidi ya 10 ya Bima nchini, imekuja na huduma mbalimbali za bima kwa lengo la kumlinda mteja pale majanga yanapotokea.
Moja ya bima inayotolewa ni bima ya Mkono wa Pole kwa wanakikundi kuanzia watano na kuendelea wenye umri wa miaka 18 mpaka 75.
Bima hiyo imegawanyika katika vifurushi vya aina tatu ambavyo ni shaba, fedha na dhahabu, ambayo inamnufaisha mwanakikundi, wenzi na watoto pale janga la kifo litakapotea.
Katika kifurushi cha Bronze (Shaba), mwanakikundi mkuu atakuwa anachangia Sh.500 kwa mwezi ambapo yeye, mwenzi na watoto wake watapata Sh.Milioni 1.
Katika kifurushi cha Silva (Fedha), mwanakikundi atachangia Sh.1200 na iwapo akifariki atapata Sh.Milioni 3, mwenzi Sh.Milioni 2 na watoto Sh. Milioni 1.
Aidha, kifurushi cha Gold (Dhahabu), mwanakikundi atachangia Sh.2,000 kwa mwezi na iwapo atafariki atafidiwa Sh.Milioni 5, mwenzi Sh. Milioni 4 na watoto Sh. Milioni 1.
Kuhusu vifurushi vinavyojumuisha wazazi , kutakuwa na makundi matatu yale yale ambapo katika kifurushi cha Shaba mwanakikundi atachangia Sh. 2,000 kwa mwezi na iwapo atafariki, Bima itatoa Sh. Milioni 1 kwake, kwa mwenzi, watoto, wazazi na wakwe.
Katika kifurushi cha Fedha mwanakikundi atatakiwa kuchangia Sh.5000 kwa mwezi na iwapo atafariki bima itatoa Sh. Milioni 3, mwenzi Sh. Milioni 2 na watoto, wazazi na wakwe Sh. Milioni 1.
Katika kifurushi cha Dhahabu mwanakikundi atachangia Sh.8000 na iwapo atafariki atapewa Sh.Milioni 5, mwenzi Sh.Milioni 4, watoto Sh.Milioni 1 na wazazi na wakwe Sh.milioni 1.5.
Mahitaji ya kununua bima hii ni;
Kikundi kiwe na watu kuanzia watano
Kivuli cha kitambulisho chochote kinachotambuliwa na serikali mfano NIDA, leseni ya udereva n.k ya kila mwanakikundi
Orodha ya wanakikundi
Gharama ya malipo ya bima ya mwaka ( gharama italipwa kwa mwaka moja)

ADVERTISEMENT

Tembelea tawi la NMB karibu nawe kujipatia Bima hii au kwa taarifa zaidi wasaliana na NMB huduma kwa wateja 0800002002.
*Mwisho*

RelatedPosts

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

MORGAN HERITAGE KUACHIA ALBUM YAO APRILI 21

Mar 24, 2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Machi 24,2023

Mar 24, 2023

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Mar 23, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Machi 24,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
HABARI

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA
HABARI

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI
HABARI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati
HABARI

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

by I am Krantz
Mar 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In