Wakala maarufu wa Wachezaji soka mbalimbali duniani kama Paul Pogba na Zlatan Ibrahimovic anayejulikana kwa jina la Mino Raiola raia wa Italia amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 54.
Taarifa hizo zimethibitishwa na familia yake kupitia account yake ya twitter.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT