ADVERTISEMENT
Mahakama ya wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro imawakuta na hatia wakazi wawili wakazi wa wilaya ya Gairo ambao ni Bigvai Mkunda aliyehukimiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kuvunja vioo vya madarasa ya shule ya sekondari Kibedya pamoja na Husein Chidaka ambaye alikuwa mlinzi wa shule hiyo amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kosa la uzembe wakati akilinda mali ya umma.
Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama hiyo Kavumo Mndeme amesema mahakama hiyo imewakutana na makosa baada ya kusikiliza ushahidi wa pande zote mbilii.
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Gairo Jabiri Makame asema huku hiyo itakuwa ni fundisho kwa watu wengi wenye leongo ovu la kuharibu miundombinu ya serikali. Madarasa ya sekondari ya Kibedya yaliyojegwa kwa mradi wa fedha za Uviko19.
ADVERTISEMENT