Mwamuzi, Ramadhan Kayoko kutokea Dar es Salaam amechaguliwa kuwa pilato wa mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Sc dhidi ya Simba Sc siku ya Jumamosi, Aprili 30, 2022 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Mwamuzi msaidizi namba 1 atakuwa Frank Komba wa Dar es Salaam, Mwamuzi msaidizi namba 2 ni Mohamed Mkono kutoka Tanga na Mwamuzi wa Mezani ni Elly Sasii wa Dar es Salaam.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT