Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya riadha iliyoshinda medali kwenye Olimpiki ya 1980, Ron Davis amefariki leo alipokuwa akipatiwa matibabu kwenye hospital ya taifa Muhimbili.
Ron alilazwa hospitali ya JKCI wiki iliyopita ambapo alienda kwa tatizo la uvimbe wa mguu wa kulia na kisha kugundulika kuwa na kansa ya damu.
ADVERTISEMENT
Ron raia wa Marekani hadi umauti unamkuta alikuwa kocha wa riadha wa kituo cha cha Filbert Bayi, Kibaha mkoani Pwani.
ADVERTISEMENT