Kutana na Mapacha Watatu Wanaochumbiana na Jamaa Mmoja – Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, May 19, 2022
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Kutana na Mapacha Watatu Wanaochumbiana na Jamaa Mmoja

I am Krantz by I am Krantz
Apr 12, 2022
in HABARI
0
Kutana na Mapacha Watatu Wanaochumbiana na Jamaa Mmoja
0
SHARES
52
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Dada watatu wamekuwa gumzo kwenye mtandao baada yao kujitokeza na kufichua kuwa wote wanamchumbia jamaa mmoja.

Catherine, Mary na Eve ambao ni mapacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili wamekiri kuwa walivutiwa sana na mwanavlogu mmoja wa hapa nchini na wakapiga hatua ya kujuana naye zaidi.

RelatedPosts

WATANZANIA TAYARI KULIPIA BIMA YA AFYA

WATANZANIA TAYARI KULIPIA BIMA YA AFYA

May 19, 2022

NMB FOUNDATION YATANGAZA UFADHILI SEKONDARI KIDATO CHA TANO , SITA NA ELIMU YA JUU

May 19, 2022

NMB FOUNDATION YATANGAZA UFADHILI SEKONDARI KIDATO CHA TANO , SITA NA ELIMU YA JUU

May 19, 2022
Load More

“Nilikuwa namtazama kwenye YouTube. Siku moja nikaonyesha Mary nakamwambia huyo jamaa huwa ameweza. Vile nilimwambia akasema kweli ako poa. Hatukuwa tunajua kuhusu Eve, kumbe aliweka siri tu. Vile tulizua suala hiyo akasema huyo jamaa ako poa,” Catherine alieleza wakiwa kwenye mahojiano na Jalang’o.

Mapacha hao walisema walipokutana na jamaa huyo waliungana vizuri naye na akakubali kuwachumbia wote watatu.

Walisema tayari wamekubali kufunga pingu za maisha na jamaa huyo wote pamoja na kufichua kwamba mipango ya jinsi ndoa yao itakuwa bado inaendelea.

“Bado tunapanga. Jumatatu atakuwa na mmoja wetu, Jumanne anachukua mwingine, Jumatano anachukua huyo mwingine,” Walisema.

Waliweka wazi kuwa hakuna uwezekano wa yeyote kati yao kumwonea gere mwenzake kwa kuwa wamekuwa na uhusiano mzuri tangu kuzaliwa kwao.

ADVERTISEMENT

“Tulimwambia atupende sawa. Bora asipende mmoja kuliko mwingine. Tayari amejua kututambua lakini wakati mwingine tunaweza kumchanganya,” Mapacha hao walieleza.

Mapacha hao walisema jamaa anayeachumbia amekubali kulipa mahari yao wote na kudai kwamba tayari ameanza kujipanga.

Walisema wamekuwa pamoja kwa maisha yao yote na hata walihudhuria shule moja ya msingi na ya upili. Walifichua kuwa hisia zao wote huwiana zikiwemo hisia za kimapenzi

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

WATANZANIA TAYARI KULIPIA BIMA YA AFYA
BIASHARA

WATANZANIA TAYARI KULIPIA BIMA YA AFYA

by Ally Hamis Zingizi
May 19, 2022
NMB FOUNDATION YATANGAZA UFADHILI SEKONDARI KIDATO CHA TANO , SITA NA ELIMU YA JUU
HABARI

NMB FOUNDATION YATANGAZA UFADHILI SEKONDARI KIDATO CHA TANO , SITA NA ELIMU YA JUU

by I am Krantz
May 19, 2022
“PANYA ROAD” KAENI CHONJO SERIKALI IPO KAZINI
HABARI

“PANYA ROAD” KAENI CHONJO SERIKALI IPO KAZINI

by Ally Hamis Zingizi
May 19, 2022
RAIS SAMIA AMETOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU-MAJALIWA
HABARI

RAIS SAMIA AMETOA KIPAUMBELE CHA AJIRA KWA WENYE ULEMAVU-MAJALIWA

by Ally Hamis Zingizi
May 19, 2022
WATEJA WA HALOTEL KUJIPATIA ZAWADI KUPITIA MATUMIZI YA MTANDAO
BIASHARA

WATEJA WA HALOTEL KUJIPATIA ZAWADI KUPITIA MATUMIZI YA MTANDAO

by Ally Hamis Zingizi
May 19, 2022
TUMEUMIZWA NA MATOKEO YA JANA – AHMED ALLY
HABARI

TUMEUMIZWA NA MATOKEO YA JANA – AHMED ALLY

by Shabani Rapwi
May 19, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s

KONCEPT TV
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.
All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In