ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MAMBO 10 MECHI YA YANGA NA NAMUNGO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 23, 2022
in HABARI
0
MAMBO 10 MECHI YA YANGA NA NAMUNGO
0
SHARES
233
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Habari Kuu Kwenye Magazeti ya Leo Machi 28,2023

Mar 28, 2023

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023
Load More

Na Ally Kamwe.

1: CLASSIC MATCH✊ 3 za KIBABE. 3 za KIKUBWA. 3 ZA KIBINGWA. Inahitaji akili ngumu, Nafsi Jasiri na moyo unaoweza kuishi motoni ukitabasamu ndio uamini kuna BINGWA MWINGINE WA LIGI TOFAUTI NA YANGA

2: Nilipenda jinsi makocha walivyoamua kushindana kimbinu. Kila ‘Sub’ ilikuja uwanjani na swali jipya kwa mpinzani.. Kaze ameshinda yake kwa Faida ya QUALITY PLAYERS kwenye kikosi chake

3: Namungo ni kama walijiandaa na Mechi 2. Dhidi ya YANGA na Dhidi ya MAYELE. Bahati mbaya zote wamepoteza. Bahati nzuri kwao wamepoteza bila kadi nyekundu kwenye kikosi chao

4: Ukiwa na pacha ya BAKARI na BANGALA pale nyuma.. Aucho mbele yao.. Naamini kila kocha angetamani kufanya ‘Build Up’ kutokea chini.. Bado naendelea kutafakari Molinga huwa ana kitu gani cha tofauti katika uwanja wa mazoezi kiasi cha kumshawishi mwalimu kumpa dakika kuupress ‘Utatu’ wa Yanga kutokea nyuma

5: Utatu wa Yanga chini. Mbele yao kuna ‘double Play Maker’ .. Feisal na Sure Boy🙌 Nilielewa kwanini Fredy Tangalo aliondolewa mapema uwanjani. Hii haikuwa mechi ya nguvu.. Ilikuwa mechi ya akili kubwa.

ADVERTISEMENT

6: SURE BOY ANAENYOY GAME YAKE AKIWA NA JEZI YA YANGA🙌 WHAT A PLAYER. Ni ngumu kumuelezea Lakini ni rahisi kumuelewa.. DECO WA JANGWANI✊

7: SHIZA KICHUYA.. Hii ilikuwa zaidi ya mechi kwake. Alikimbia kilomita nyingi uwanjani kutafuta kilio kwa Yanga.. Nafikiri kama angekuwa na Chirwa/Lusajo mapema kiwanjani, Angekuwa na uhuru zaidi wa kusababisha madhara

8: Frank Magingi anaweza kumshukuru mwamuzi kwa wakati wake. Kadi nyekundu aliitafuta na alikaribia kuipata.. pale kwa AGGREY MORRIS Mayele alishathibitisha ili umzuie inahitaji AKILI, NGUVU NA UMAKINI MUDA WOTE

9: Kwa kiasi fulani ukuta wa Namungo ni kama ulitoa zawadi kwa mastraika wa Yanga. Mabao yote mawili.. UMAKINI. UMAKINI. UMAKINI.. bila shaka ndio wimbo utakaoimbwa na kocha kwenye uwanja wa mazoezi kesho

ADVERTISEMENT

10: MOLOKO amejidhulumu kuondoka bila bao. Lucas Kikoti ni Fundi asiyehitaji utambulisho.. Nilipenda sana nidhamu/Perfomance ya MAKAME uwanjani.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Habari Kuu Kwenye Magazeti ya Leo Machi 28,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In