Marcus Rashford leo anacheza mechi yake ya 300 akiwa na Manchester United katika mashindano yote, akiwa na umri wa miaka 24 na siku 167.
Na kuwa mchezaji wa tatu kucheza michezo 30 katika klabu hiyo mwenye umri mdogo, baada ya George Best (miaka 23, siku 149) na Ryan Giggs (miaka 24 siku 22).
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT