ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Mfahamu Jambazi wa Kimataifa Aliyefariki Akibadili Sura

I am Krantz by I am Krantz
Apr 7, 2022
in HABARI
0
Mfahamu Jambazi wa Kimataifa Aliyefariki Akibadili Sura
0
SHARES
68
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

ANAFAHAMIKA kwa jina la Amado Carrillo Fuentes, alizaliwa Desemba 17, 1956 huko Sinaloa, Guamuchil nchini Mexico na anafahamika zaidi kama “The Lord of the Skies” na hiyo ni kutokana na kasi aliyokuwa nayo katika biashara haramu ya uuzaji wa dawa za kulevya nchini Mexico na kumpa umaarufu pamoja na kuufikia utajiri kwa kumiliki Dola za Marekani zipatazo bilioni 25.

RelatedPosts

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Mar 23, 2023

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Mar 23, 2023

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

Mar 23, 2023
Load More

Amado alimiliki ndege nyingi binafsi ambazo alizitumia kusafirisha dawa za kulevya duniani kote, na imeelezwa kuwa alimiliki ndege nyingi zikiwemo Boeing 30.

Imeelezwa kuwa Amado alilelewa na mjomba wake na ndiko alipoanza kujifunza kuuza dawa za kulevya, alifundishwa namna ya kusafirisha dawa za kulevya kutoka kundi la Guadalajara Cartel lililoongozwa na mjomba wake na baadaye akaja kuwa msimamizi mkuu wa genge la Juarez Cartel na hiyo ni baada ya kumuua rafiki yake na aliyekuwa bosi wa genge hilo, Rafael Guajardo

Licha ya kumiliki ndege nyingi binafsi imeelezwa kuwa pia alimiliki silaha za kivita na baadaye alitanua biashara yake katika nchi kubwa ikiwemo Marekani.

ADVERTISEMENT

Anguko la Amado lilikuwa la aina yake hasa pale alipoanza kutafutwa na mamlaka za usalama kutoka Marekani na Mexico, aliamua kufanya upasuaji wa kubadilisha mwonekano wake mwaka 1977 ili aweze kukwepa mkono wa dola lakini upasuaji huo haukufanikiwa alipoteza maisha wakati upasuaji ukiendelea na baadaye daktari mkuu aliyesimamia upasuaji huo pia alikutwa amepoteza maisha katika hali ya kutatanisha.

 

Licha ya watu wake wake wa karibu kueleza kuwa Amado ni mzima wa afya, mamlaka za kiusalama zilitoa taarifa kuwa mhalifu huyo amefariki dunia na kuacha mke na watoto watoto watatu ambao mmoja hao Julio Cesar aliuwawa kwa kupigwa risasi wiki iliyopita huko Mexico.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
HABARI

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA
HABARI

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI
HABARI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati
HABARI

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

by I am Krantz
Mar 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
YANGA PRINCESS, SIMBA QUEENS HAKUNA MBABE
HABARI

YANGA PRINCESS, SIMBA QUEENS HAKUNA MBABE

by Shabani Rapwi
Mar 22, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In